Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
kweli hata sikujua hata sikuwai kukuona humu..ungeniambia mapema bwana nisingelitumia! sijui itakuwaje now !eheheeee
Well... lets wait and see!
kweli hata sikujua hata sikuwai kukuona humu..ungeniambia mapema bwana nisingelitumia! sijui itakuwaje now !eheheeee
hahahahah..... Thanx Babu yangu kipenzi!
Mihangaiko ilikuwa mingi....but am back! I see that you have met my twin! lol...
Siwezi kuchakachuka nikafikia kwa huyu mwenzangu aisee.... Babu Asprin yupo wapi jamani... memmiss saaana!
Feels good to be back!
Poa kajukuu kapendwa!
Jipe kama dakika tano....Babu Asprin atakuwa hapa hapa na kadi yako mkononi...
Si unakumbuka kile chama chao? Twin wako Smile ni member mwaminifu sana....
Najua hata wewe Smiles utakuwa umeshakata shauri...kwani, if you can't fight them.......
Mie naaga kwa muda ....sawa?
Babu DC!!
Pichaduka.
kweli hata sikujua hata sikuwai kukuona humu..ungeniambia mapema bwana nisingelitumia! sijui itakuwaje now !eheheeee
kuna kipindi cha nyuma hapa kuna mtu alikua anatumia avatar yako anajiita luckmito.. au nimejimix smile?
Pichaduka.
itabidi asibadlishe tena avatar wala jina tena!
kweli hata sikujua hata sikuwai kukuona humu..ungeniambia mapema bwana nisingelitumia! sijui itakuwaje now !eheheeee
Likewise....
Mi nilikuona kitambo kidogo wakati ndio umeingia! Na ku notice umeniibia jina....:biggrin:
But sikuona kama ni issue sana! Though I knew kuna watu itawachanganya sana.....
And now itawachanganya zaidi..........