open! but..AT YOUR OWN RISK!

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
307897_355552341200017_535243652_n.jpg
 
daah! inatisha hadi mwili umenisismka bora umeweka angalizo
 
Wewe ulipotelea/potezewa wapi?

Welcome back Smiles.....huwa siku zote nakaribia kumchapa Smile nikidhani ni wewe ila umechakachuka!!

Ngoja niishie hapa..report kamili atakupa mzee mwenzangu Asprin au mdau mwenzetu The Boss!!

Babu DC!!

hahahahah..... Thanx Babu yangu kipenzi!
Mihangaiko ilikuwa mingi....but am back! I see that you have met my twin! lol...
Siwezi kuchakachuka nikafikia kwa huyu mwenzangu aisee.... Babu Asprin yupo wapi jamani... memmiss saaana!
Feels good to be back!
 
nice to meet u
mimi hata sijawai kukuona tena i just choose the name!

Likewise....
Mi nilikuona kitambo kidogo wakati ndio umeingia! Na ku notice umeniibia jina....:biggrin:
But sikuona kama ni issue sana! Though I knew kuna watu itawachanganya sana.....
And now itawachanganya zaidi..........
 
Likewise....
Mi nilikuona kitambo kidogo wakati ndio umeingia! Na ku notice umeniibia jina....:biggrin:
But sikuona kama ni issue sana! Though I knew kuna watu itawachanganya sana.....
And now itawachanganya zaidi..........
kweli hata sikujua hata sikuwai kukuona humu..ungeniambia mapema bwana nisingelitumia! sijui itakuwaje now !eheheeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom