oooooooooooohps!

oooooooooooohps!

ahhaaaaaaaaaaaaaaa mtasonyaje......................hahaaaaaaaaaaaaaaa honi haifungui geti babuu na kumchinja kobe yatakiwa timing mana ni mpaka atoe kichwa babu haloooooooooooooo

aminata unapiga teke fuko la dhahabu! Hebu msikilize huyo pedeshee hapo.
 
Haya maneno ukiishafika ndani huwa yanayeyuka kama barafu

aminata unapiga teke fuko la dhahabu! Hebu msikilize huyo pedeshee hapo.
Anafika sheli halafu eti anauliza kama kuna mafuta
 
du!................ point taken

hahahaha poa jaribu kufanya hivyo walau utakuwa na uhakika nae kwa asilimia kubwa maana ukimtengeneza wewe ndo utaweza kumjua/kumfahamu abcdef.... zake
 
thanx swt
 
mi nataka la extra extra extra large.
la ivuga mana ndio alitangaza mchumba wake anaumia sana koz ni etra etra large sasa hiulo lako nenda kalimbembee tu halooooooooooooooooooo inahuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom