ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze. Acha woga, karibu kundini ukomae.

Wanaume tubadilike? FYI Mabadiliko ya wanawake ndio yanachangia haya kutokea..
Kabla hujaolewa unajituma
Ukishaolewa unajisahau.
Sisi tufanyeje na wakati huduma mantashau tunaitaka?

hommie naona uko sober leo eeh!
 
Binamu tunajishau vip wakati nyie tamaa zenu za kimwili zinawasumbua ..ukiona kitop kitovu nje kwisha habari yako wowowo kubwa shingo haiachi kugeuka hahahahaha
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME
hiyo blue hiyo.........

na hiyo hiyo............

enewei,nitaandika mno hapa nitajaza server
 
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?
crying-eye.jpg

Hapa tusimjadili mhudumu wa bar kwani naye ni mwanamke anayo haiba na maumbile yote ya kike na hata mvuto ikiwezekana, ni bora tujadili kuacha mke ndani ukagombee mwanamke mwingine wa nje, inasikitisha hata hivyo Mungu amsamehe huyo marehemu RIP.
 
hommie naona uko sober leo eeh!
We acha tu hommie. Jana bi mkubwa alinifungia chumbani. Kaniletea chupa 2 za valuu lakini hata moja haikuisha. Raha kunywea kaunta huku ukiwaachia kina Eliza chenchi.

Binamu tunajishau vip wakati nyie tamaa zenu za kimwili zinawasumbua ..ukiona kitop kitovu nje kwisha habari yako wowowo kubwa shingo haiachi kugeuka hahahahaha
Kwani kabla sijakuoa nilikuwa sioni mawowowo? Au vitovu sikuviona? Kama niliviona mbona sikuvihangaikia nikahangaika na wewe mpaka mbele ya mashahidi, wazazi, kasisi na wageni waalikwa mabibi na mabwana?

Kuna kitu nilikuwa nakipata kwako. Kwako peke yako. Usisahau nilikuwa na maeksipiriensi ya kufa mtu. Nilishatesti vya kutestiwa kibao. Lakini vyote nikavipiga chini kwa ajili yako.

Sasa umeingia nyumbani unabweteka. Yale ulokuwa unanipa jumlajumla unanipa kwa mgao. tena baada ya usumbufu utafikiri nailipia PAYE

Kwa nini kina Eliza wasikamate mchuma? Stuka Binamu!
 
mwanaume hata umbebe mgongoni akiamua kutoka atatoka tu
uwe mjeuri au mtiifu
kichwa maji au mnyenyekevu
mkitakaga hamshindwi
LAKINI: sikatai pia wanawake pia tunamchango wetu kwenye hili, hapa hamna kukwepa.....
 
si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie

A very good answer!! Hakuna asiye kuwa na kasoro na kusahau ni katika hali ya ubinaadamu.
 
mwanaume hata umbebe mgongoni akiamua kutoka atatoka tu
uwe mjeuri au mtiifu
kichwa maji au mnyenyekevu
mkitakaga hamshindwi
LAKINI: sikatai pia wanawake pia tunamchango wetu kwenye hili, hapa hamna kukwepa.....
Hebu kakague nimeifanyia nini hii yuziful posti.

Hiyo blue: Sasa umeamini mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja?
Hiyo red: Nakugongea kapa kwa kinoname THENKSI:D:D
 
uuuh let me breath yeah!

Pearl ooooooooooooooooh honey ,dear ,mupenzi ,mupendwa nakuita majina yooooooooooooote hapa dunia ...Murembo ..mariah carey

Hujui ni furaha gani niliyonayo kukuona
 
SABABU YA KUMFUATA BAR-MAID ALIKUWA NAYO ila kwavile ameshapumvika hatuna wa kutuambia ukweli ila MKEWE PIA ATAKUWA NI CHANZO CHA YEYE KWENDA NJE.
ILA JAMANI TUKUMBUKE KUWA BAR-MAID HANA TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE WOTE. HIYO NI KAZI TU KAMA KAMA NYINGINE HAIBADILISHI UBINADAMU WAKE.
Ndoa vina mambo mengi ila MKIWA NA YESU KWELI KWELI SIO UBABAISHAJI NDOA YENU ITAKUWA NA AMANI FURAHA DAIMA.

Jamani si kweli kwamba mke nae ni chanzo, wanaume wengine basi tu wako hivyo. nina jirani ambae anampenda mkewe mpaka wote tunajua, mke kafunguliwa duka, kanunuliwa gari na hata kitunguu mume anaenda kununua nyumbani hakukosi kitu na siku zote ni mambo sweety ndo jina lake humo ndani kiasi watoto wanamwita mama sweet!
lakini yalikuja ibuka yalojificha yule baba kuna gest amelipia kwa mwezi na hachagui wa kuingia nae huko, je hii nn sasa kama mke alikua na kasoro si angemwambia?
 
Hebu kakague nimeifanyia nini hii yuziful posti.

Hiyo blue: Sasa umeamini mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja?
Hiyo red: Nakugongea kapa kwa kinoname THENKSI:D:D

nimeona umeandika ki-sinajina ukachanganya na ki-bluray!!!

am being frank here kwa kweli, if a man wants to cheat he will surely cheat no matter what......mpige, tigo zain n.k unajisumbua (hahaa shoga yangu anahusu hapa kwa kunipa Kitchen Party)
wengine ni kweli huwa wantoka kwa kuwa wanawake zao nao ni tatizo, ila jamani mume kama unaona mkeo anakasoro fulani kitabia si umwambie tu ajirekebishe kuliko kwenda kujaribu kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo???
 
Sasa umeingia nyumbani unabweteka. Yale ulokuwa unanipa jumlajumla unanipa kwa mgao. tena baada ya usumbufu utafikiri nailipia PAYE

Kwa nini kina Eliza wasikamate mchuma? Stuka Binamu!
ha ha ha kweli hommie leo upo sober!!
 
mwanaume hata umbebe mgongoni akiamua kutoka atatoka tu
uwe mjeuri au mtiifu
kichwa maji au mnyenyekevu
mkitakaga hamshindwi
LAKINI: sikatai pia wanawake pia tunamchango wetu kwenye hili, hapa hamna kukwepa.....

Bht ni ukweli usiopingika hakuna aliyemkamilifu hapa duniani ..
Kila nikiwaza huwa sipati majibu kwenye swala zima la mahusiano

Shost nakuombea kwa mola umpate wako atakayekupenda na wewe kumpenda daima dumu ...
mambo yamekuwa sivyo ndivyo hapa duniani!
i can't imagine
 
Iweje wewe mwanaume utoke nje ya ndoa wakati umeacha mke ndani??? Kwani huezi kuwa mwaminifu mpaka mwisho wa maisha yako??? Vipi kuhusu yale maagano uliyoyaeka mbele za Mungu kanisani au msikitini au chini ya mti (kwa wale waliooana kimila) kuwa utakuwa kuwa naye tu mpaka mwisho kwa mazuri na mabaya??? Ni kipi hasa mnachofuta huko nje ambacho wake zenu hawana eeeee??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom