ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Sidhani kama NGULI akipata KISHAWISHI anampigia "My wife wake"... "Eti Wife i love u so much!" mara nyingi mimi ama jinsia yetu ya kiume tukiudhiwa huko kwenye..... ndo "tunakumbuka Home" Masanilo upo????:D:D:D

Kwa hiyo jinsia yote ya kiume inaenda kwa bar maids au nyumba ndogo?
 
Inatisha na inatia huruma. Penda usipende wanawake ni chanzo. Mwambie mkeo siku moja mtumie staili ya kuchuma mchicha usikie majibu yake. Wanawake nao wabadilike, na waache tabia ya kusema si tumefanya jana, unataka kila siku, wengine hata mchana hawataki. Unadhani mimi nitafanya nini? Ni kwa bar maid tu. Tuombe Mungu atuondolee pepo hili la ngono.

hili nalo neno ...lakini si kweli labda unaomba katika njia sio nzuri kuhamasisha
 
Binamu unajihami eeeh:):)
Huo ndio ukweli. Kama si huduma murua za Eliza si ningejinywea zangu home?
Niliwahi kununua kakreti kamoja nikakaweka sebuleni eti nikiwa kwenye mkakati wa kutoenda bar. Nakumbuka sikuwahi kunywa zaidi ya tano.

Raha ya Bia ni kuinywea bar!
 
Duuh Jamani wanaume na hizi shamba nazo zisitu chukue sana mawazo saaaana mpaka kusahau home we kama unama wivu yako na huwezi miliki shamba nyingine kaaa kushoto acha watakao weza. yanini ukajitese na kumtesa mkeo, yani we una mke hiyo shamba ya nje ndio ukupeleke kwa maswahibu kama hayo haibu hii.
 
SABABU YA KUMFUATA BAR-MAID ALIKUWA NAYO ila kwavile ameshapumvika hatuna wa kutuambia ukweli ila MKEWE PIA ATAKUWA NI CHANZO CHA YEYE KWENDA NJE.
ILA JAMANI TUKUMBUKE KUWA BAR-MAID HANA TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE WOTE. HIYO NI KAZI TU KAMA KAMA NYINGINE HAIBADILISHI UBINADAMU WAKE.
Ndoa vina mambo mengi ila MKIWA NA YESU KWELI KWELI SIO UBABAISHAJI NDOA YENU ITAKUWA NA AMANI FURAHA DAIMA.
Anakuwaje chanzo?..............hebu mtuorodheshee kila kitu hapa....
 
Tatizo lako hommie unachelewa sana kutoka gesti.
Ona sasa tumezimisi yuziful postiz zako mpaka kiu kinataka kuua.
ha ha ha hommie nilikua kwenye panel ya kutest kama vijana wanaweza kazi au wanaaply tu!! ha ha ha hommie acha tu ni mixer tu za kibluray na ki.......! lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom