Ooh my kumbe leo ni 19.09

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
Asante baba wa mbinguni kwa kuifikisha hii siku tena .ni exactly tarehe kama ya leo jembe maganga mkweli alizaliwa shukrani kwa mama na baba mzazi walionileta duniani , much respect kwa all jf members kwa michango na mawazo yenu ... Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa tufurahi sote na wapenda wote ...
God bless me god bless jf
aluta continua...............................
 
Hongera sana kwa kukumbuka na kuwashukuru wazazi wako walio kulea kwa siku yako ya kuzaliwa leo . Kila la kheri mungu akuzidishie maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…