Izz
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 750
- 318
Invisible sikiliza na upande wa pili ili kubalance story then ufanye maamuzi yatakayokua na tija kwetu sote hapa JF. Halafu njia aliyotumia jamaa ya kuanika namba yake hadharani ili hali Mshitakiwa hajasikilizwa mimi naona sio sahihi...alipaswa aku-PM hiyo namba kwanza. Hayo ndio maoni yangu.Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.
Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.
Thanks
Utapeli sio mzuri washikaji, kwani wengine hapa tunaweza kua na shida kweli na tukataka kuuza SAMANI zetu lakini tukashindwa kwakua tayari baadhi ya watu wameshachafua hali ya hewa. UTAPELI sio mzuri ndugu zangu, kama mnafanya muache!