TANESCO wilaya ya Muleba ni jipu

78Kuku

JF-Expert Member
Mar 31, 2021
201
500
Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?

Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.

Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .

Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.

cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
 
Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
2,367
2,000
Ha ha ha..!
Eti "jipu', umenikumbusha mbali. Kwa bahati mbaya mtumbua majipu ameenda zake.

Uzembe unarejea mdogo mdogo.
Ila.....Kazi na iendelee!

TANESCO mnaitwa huku.
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,313
2,000
Hivi kwanini Muleba umeme ukatika mara kwa mara, kwa wiki nadhani unaweza katika mara 4 na ukikatika kurudi ni majaliwa, na hili tatizo lipo zaidi ya miaka 3 hivi kweli hamjawahi pata ufumbuzi.Tanesco Muleba jirekebisheni
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,067
2,000
Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Kwani Meneja wa Wilaya Muleba anasemaje kuhusu tatizo hili?

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,535
2,000
Huo Mkoa wote wa Kagera Tanesco ni jipu..,
Yani Umeme kwa siku unaweza kukatika hata Mara 10 bila kujulishwa sababu na hao Tanesco wenyewe wala hawajali na hawana habari.
 
Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
1,938
2,000
TANESCO Muleba bado wako old stone age! Eti wanawaelekeza wakandarasi wa umeme wa REA kuwa wasifunge umeme kwenye vitongoji vyenye ushabiki wa vyama vya upinzani. Sasa sijui akitawala wa ATC Wazalendo vijiji vyenye wafuasi wa CCM watavizimia umeme? TANESCO jitafakari.
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,154
2,000
Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
KALUMENYA

Member
Feb 16, 2019
64
125

Nunueni sola mkiona wanawazingua, kwa mawasiliano zaidi kama unataka sola unaweza kunichek kwa no. hii 0769718625
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,280
2,000
Au mnangoja mpaka ziara za viongozi ndo muache ubabaishaji wenu?
Toka juzi mmefungua nyaya za umeme ili uweze kukatwa mti ( nadhani hamkutaka mti uzingukie nyaya na kuleta madhara). Sa ajabu limekuja tayari zoezi la kukata miti katika hilo eneo kijiji cha Kamishango Kata ya Ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera mmegoma kuja kuunganisha tena waya na mkipigiwa simu hampokei mmesababisha watu wanalala gizani leo siku ya pili, mnakwamisha shughuli za watu kwa uzembe wenu.
Kama mmeshindwa kazi acheni ofisi za umma waingie watu wenye weledi .
Mna madudu mengi sana ikiwemo kuomba rushwa kwa watu ili muwafungie umeme kwa haraka, kuwaibia watu meter na kuwauzia kwa mara ya pili na mengine mengi. Hali hii ya kukaa gizani ikiendelea tutawatoa humo ofisini kwa mapanga na marungu.
cc.tanesco makao makuu
cc.tanesco kanda ya ziwa
cc.tanesco kagera
Cc:- Mh. Medard Kalemani Mb
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,154
2,000
Cc:- Mh. Medard Kalemani Mb
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,280
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Huu ujumbe ni copy and paste kila siku kwà kila tatizo likiripotiwa Jf
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,280
2,000
Huduma bora inaanza na taarifa kamili.Tunawasihi wateja wetu kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kamili na unapotoa taarifa kamili hakuna atakayeomba taarifa tena.Jm
Mnaomba namba za simu, huku TISS wamejaa unategemea utapatiwa namba? Unategemea kwà mantiki hiyo matatizo ya tanesco mtayatatua?
 
TANESCO

Verified Member
Jul 12, 2014
3,154
2,000
Mnaomba namba za simu, huku TISS wamejaa unategemea utapatiwa namba? Unategemea kwà mantiki hiyo matatizo ya tanesco mtayatatua?
Mteja anaweza kuchagua kutoa taarifa inbox au kwa njia nyingine anayoona inafaa kwake lakini sio vema kulalamika au kutoa tuhuma bila taarifa.Jm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom