Onyo kwa yanga

Onyo kwa yanga

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,724
Reaction score
2,262
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
 
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo
 
si mngewafunga tu magoli mengi, mbona hata coast walipata kadi nyekundu yaaani kutoa draw jana basi mnaona ni makosa ya marefa. he he watani naona mlitegemea kila timu mtaifunga tano, sita.
 
hivi matokeo yalikuwaje mbona mnalialia kama watoto wa kike, eti yanga haina mpinzani..
 
si mngewafunga tu magoli mengi, mbona hata coast walipata kadi nyekundu yaaani kutoa draw jana basi mnaona ni makosa ya marefa. he he watani naona mlitegemea kila timu mtaifunga tano, sita.

hawa ni wapuuzi na wakikutana na mnyama simba watakula zaidi ya mbili na ndipo watashika adabu kwa simba ya sasa nawapa wiki tatu timu zitachezea kichapo mpaka wakome..
 
Soka la Tanzania, uongozi wa soka la Tanzania na washabiki wa soka la Tanzania...ufffff!!!!!!!!!!!!!
 
Mmewaokota wale wala unga wa Ilala mkatamba mjini apa tulieni dawa iwaingie ndo kwnza ligi imeanza
 
Yanga haina mpinzani ila majungu tu ya ss
 
Dawa sasa sio refa kumpiga ngumi dawa ni kujiandaa na mpambano wa fitna nje ya uwanja kwa kila mechi wanayocheza azam,simba na coast
Refa akipigwa ngumi TFF wanalalamika.
 
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna

Huyo mwamuzi wa jana anatakiwa apate dawa aliyopta Nkongo ili aijue kazi yake
 
Inatia hasira sana soka la bongo kwa mwendo huu haliwezi kua hata siku1 kama timu haziandai wachezaji ila zinaandaa marefa kuikomoa yanga
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo
 
Yanga wazee wa fitina, unawafundisha fitina? Kubalini matokeo watani, mbona kwenye zile bao tano za Ashanti waamuzi walikuwa wazuri?
 
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
Tulishajua mapema "mkifungwa lawama haziishi"
 
si mngewafunga tu magoli mengi, mbona hata coast walipata kadi nyekundu yaaani kutoa draw jana basi mnaona ni makosa ya marefa. he he watani naona mlitegemea kila timu mtaifunga tano, sita.
Achana nao vilaza hao! yenyewe yalijua yanacheza na vibonde kumbe ni tofauti
 
Mkuuu upo kumbe hivi ulipotelega wapi ?? Kitambo sana

Huyu jmaa unajua anaichukia sana ccm kwa sababu ni mtu wa chadema anatambulik sana kuke jukwaa la siasa ni mbishi kama mumi ama mashavu ya kamongo,ni shabiki wa simba na mara nyingi yuko kule arusha,nimeshangaa sna jana kumuona na yeye yuko wenye haya mambo yetu,nilichojifunza kwake ni kwamba hata yale mauongo na ubishi wa kwenye lile jukwaa la siasa anataka kuleta huku kwenye spots,mwambie hili jukwaa huwa ni maukweli matupu sio uongo wa kwenye siasa.
 
Ngojeni Azam tujibebee hilo kombe lenyewe halafu ndio malalamoko yaongezeke.
 
Back
Top Bottom