Onyo kwa yanga

Onyo kwa yanga

Yaani kutoa draw mnalialia hivi? ngojeni muanze kufungwa ndo mtajua kama mmesajiri wachezaji au porno stars.

Yanga hatuogopi kufungwa, tumefungwa sana na tumeshinda sana. Kama ni makombe hakunaga kama Yanga. Cha msingi tufungwe kihalali hata kama ni 5-0 siyo mwamuzi anakuwa na unazi kama huyo mshenzi! Ile penati ilikuwa ni 'ball to hand' na siyo 'hand to ball', hata Ulaya tunaona waamuzi wanavyokuwa wagumu kutoa penati.
 
hivi kumbe kila mayeboyebo yanapofanya vibaya huwa yanahujumiwa eeh,duh!,ndo mashabiki maandazi wetu hao,upenzi mbele
 
hawa ni wapuuzi na wakikutana na mnyama simba watakula zaidi ya mbili na ndipo watashika adabu kwa simba ya sasa nawapa wiki tatu timu zitachezea kichapo mpaka wakome..

Rhino 0-0 Simba, Oljoro JKT 0-1 Simba, kwa rekodi hii unategemea ushindi dhidi ya Yanga? Unacheza!
 
Mateja ni wale waliokua wanacheza komfuu uwanjani wakina nyoso na boban
waliopiga mawe na waliopigwa mawe ni wapi wala unga sasa maana mateja ndio wenye tabia za vurugu.
 
Mkuu ndomyana hata wafanya fitina vip ubingwa jangwani ni lazima, hawa wengine sijui azam,simba &coastal wanajisumbua.
 
Last edited by a moderator:
Yanga hatuogopi kufungwa, tumefungwa sana na tumeshinda sana. Kama ni makombe hakunaga kama Yanga. Cha msingi tufungwe kihalali hata kama ni 5-0 siyo mwamuzi anakuwa na unazi kama huyo mshenzi! Ile penati ilikuwa ni 'ball to hand' na siyo 'hand to ball', hata Ulaya tunaona waamuzi wanavyokuwa wagumu kutoa penati.
Ball to hand au hand to ball mwenye kutoa definition na kufanya final decision ni refa wengine tutabaki kutoa maoni tu, ingekuwa imetolewa upande wa pili sijui ungeiona kama unavyoiona sasa!!
 
Mateja ni wale waliokua wanacheza komfuu uwanjani wakina nyoso na boban

Kwenye mpira hakuna wala unga, ukila unga huwezi kucheza mpira, nguvu hiyo ya dakika 90 utaipata wapi? wala unga wako kwenye mziki labda na bongo movie, kwenye mpira kuna wala ndumu hao wako wengi kama Yondani, Ngasa, Boban, Nyoso, Canavaro.
 
yanga wakikutana na simba watapigwa na hiyo mikongo ndiyo itakuwa mwisho, okwi nimemsikia anaomba kurudi simba, joseph shindika nae kasajiriwa chama linazidi kuimarika..
 
Mkuu ndomyana hata wafanya fitina vip ubingwa jangwani ni lazima, hawa wengine sijui azam,simba &coastal wanajisumbua.

acha ushabiki wa kijinga msimu huu ligi ni ngumu sana utambue kila timu zimepewa mil 100 na azam tv hivyo ule ujinga mliokuwa mnaufanya msimu huu itakuwa siyo rahisi voda+azamtv+kiingilio+wadhamini+takukuru imeondoa njaa za kijinga..
 
Last edited by a moderator:
acha ushabiki wa kijinga msimu huu ligi ni ngumu sana utambue kila timu zimepewa mil 100 na azam tv hivyo ule ujinga mliokuwa mnaufanya msimu huu itakuwa siyo rahisi voda+azamtv+kiingilio+wadhamini+takukuru imeondoa njaa za kijinga..

but still yanga ni vpl elites, costal na azam kwetu ni underdogs...na safari hii ni machampion tena utake usitake
 
YANGA Vs (mnyama + coastal + azam + TFF) = VPL 2013!!

kweli kushangilia Yanga ni janga lingine la Taifa,kwa hyo tulivyowalambisha 5 bila tuliwachangia na azam na costi,halafu etii kati ya Yanga na Simba TFF huwa inampendeleaga nani zaidi,mkirudisha 5 bila zeti mi nakunya humu humu JF
 
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo

hapa je hujuma ilikuwepo pia??? hahahahahaaa
 
Attachments

  • simba 5.jpg
    simba 5.jpg
    30.2 KB · Views: 44
Hao SSC, Lamba2 na Coastal watakuja kukalia tu...........
 
acha ushabiki wa kijinga msimu huu ligi ni ngumu sana utambue kila timu zimepewa mil 100 na azam tv hivyo ule ujinga mliokuwa mnaufanya msimu huu itakuwa siyo rahisi voda+azamtv+kiingilio+wadhamini+takukuru imeondoa njaa za kijinga..

Ngumu kwa simba na coastal ambao wmeanza kuwatumia waamuzi.
 
hivi si ndio huyu jamaa aliyeunawa siku ya taifa starz na uganda kule uganda mbona hamtumii akili..

Ndiyo huyo huyo, ila kwa kuwa refa alikuwa ni wa nchi nyingine, wanazi walijikausha sasa tatizo hapa alikuwa refa Mtz ndio watu wanachoonga!!!! Dogo inabidi awe anacheza mikono ikiwa imeignizwa kwenye kaptura, la sivyo penati hazitaisha
 
Back
Top Bottom