Onyo kwa yanga

Onyo kwa yanga

Ngojeni Azam tujibebee hilo kombe lenyewe halafu ndio malalamoko yaongezeke.

KUpitia wapi,unajua kitoabu uasi ni mbaya sna tangu uiasi simba kwa vibuku saba na kujiunga na Azam umekuwa na matatizo sana ulipokuwa simba haukuwa hivi!!
 
Mkuuu ufungwe kiharali basi sio kifitna ndo mana hata azam hamwendelei japo mnatoa mahela kibao kuwekeza kisa hiyo michezo michafu
Tulishajua mapema "mkifungwa lawama haziishi"
 
Mkuu namfahamugi vizuri kule hua ana akili sana anatoa point, ila ikifika kwenye michezo anamkabizi akili maharage hua ananza tumia kamasi kufukiri
Huyu jmaa unajua anaichukia sana ccm kwa sababu ni mtu wa chadema anatambulik sana kuke jukwaa la siasa ni mbishi kama mumi ama mashavu ya kamongo,ni shabiki wa simba na mara nyingi yuko kule arusha,nimeshangaa sna jana kumuona na yeye yuko wenye haya mambo yetu,nilichojifunza kwake ni kwamba hata yale mauongo na ubishi wa kwenye lile jukwaa la siasa anataka kuleta huku kwenye spots,mwambie hili jukwaa huwa ni maukweli matupu sio uongo wa kwenye siasa.
 
hivi refa akikosea ndio washabiki mpige gari mawe nawasilisha tu
 
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna

pENALTY ILIKUA YA HAKI, MI NILIKUWAPO UWANJANI , WALA HAKUKUWA NA FITINA ! kama rafu hata Yanga walicheza sana.
Shida Mashabiki mnakuwa na Jaziba na kuupindisha ukweli.
 
Uhuni huu ndio unaifanya azam izidi kudumaa kwa kutegemea marefa
Hao wengine pia wanaweza ni kuwandaa tu. Bila kichapo hata TFF haitazinduka. Lazima wafanye evaluation ya waamuzi kila wakati
 
kwa post yako, unataka kutuaminisha kwamba Ashanti walionewa nyie mkawafunga 5 sio??
 
Yaani kutoa draw mnalialia hivi? ngojeni muanze kufungwa ndo mtajua kama mmesajiri wachezaji au porno stars.
 
hivi si ndio huyu jamaa aliyeunawa siku ya taifa starz na uganda kule uganda mbona hamtumii akili..
 
Tumetengeza timu waliosajili wahuni wa wala unga na wavuta mibangi ni coastal
Yaani kutoa draw mnalialia hivi? ngojeni muanze kufungwa ndo mtajua kama mmesajiri wachezaji au porno stars.
 
tatizo la yanga wamezoea kubebwa.mwamuzi anayechezesha halali hawamtaki.mwaka huu mtalialia sana.kichapo tu.
 
Mkuu waache tu na fitna zao, lakini watabana wataachia wenyewe. Kikombe mwisho wa msimu kinabaki Jangwani piga ua.
 
Huyu jmaa unajua anaichukia sana ccm kwa sababu ni mtu wa chadema anatambulik sana kuke jukwaa la siasa ni mbishi kama mumi ama mashavu ya kamongo,ni shabiki wa simba na mara nyingi yuko kule arusha,nimeshangaa sna jana kumuona na yeye yuko wenye haya mambo yetu,nilichojifunza kwake ni kwamba hata yale mauongo na ubishi wa kwenye lile jukwaa la siasa anataka kuleta huku kwenye spots,mwambie hili jukwaa huwa ni maukweli matupu sio uongo wa kwenye siasa.
Kulazimisha ushindi kunakufanya ulete siasa hapa.kama hamtaki wachezaji wakwatuliwe watafutieni kazi ya ukarani.simba na yanga mna matatizo sana.watu wanazungumzia mpira unaanza oooh chadema.mgewafunga nyingi muone kama tungemzungumzia refa hapa.
 
Back
Top Bottom