ishu tusizidi kulalamika ila tujipange vyema kukabiliana na changamoto hizi.
hahahah!! mie ni Yanga wewe niite utakavyo ila namba yangu ni second from KIKUNGU.
aah! wapyy hili jukwaaa uliza vyema mimi ni mdau mkubwa tu na huwa natembelea klabu zangu red devils na yanga tu.Basi karibu sana jukwaa hili uwe unatembelea mara kwa mara ila kuna wenzako wabishi huku kama mzee Akilimali.
CC: Mandieta,Makoye Matale, Ndomyana, Ulimakafu, WABHEJA SANA
sijaona vizuri hapo kwenye red ni ladies devils ama??aah! wapyy hili jukwaaa uliza vyema mimi ni mdau mkubwa tu na huwa natembelea klabu zangu red devils na yanga tu.