sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Ushabiki wa Arsenal ni hatari kwa afya yako. Zingatia, tafakari na chukua hatua!

masaburi yako.
Masaburi yanakuja vipi hapa?masaburi yako.
Yule jamaaa wakenya asingejiua mwaka jana angejiua jumapili kutokana na kile kichapo kitakatifu.Lile zoez le2 ma fans wa wenger kujiua sasa linarudia mwaka huu!
fb yupo hoi kile kichapo ni hatari sana kwa afya ya wenger.

nshagundua kumbe fb ni bunduki..pole sana
aaaaaaa wapi!!!!!

nshagundua kumbe fb ni bunduki..pole sana
mhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
kweli washabiki wa mipira hasa ya miguu mna majungu
kwa yanga na simba mnaandika wamepakatana
sasa hii avatar ya sulphadoxine si imekaa kimajungu jamani?
Arsenal kills!chukua tahadhari
Mavi yakale hayanuki,tunazungumzia 2011 na sio 1899 mwaka ambao ulikuwa bado aujazaliwa.hata hivyo pole sana kwa yalio kukuta jumapili.mara ya mwisho kupata kichapo kama hicho ilikuwa 1899,,,hata man u walipata kichapo kama hicho mwaka huu
kutoka kwa marseile ya ufaransa hii ni ngoma droooo