Mliokuwa mnasubiri Ajira za Global Funds wizara ya Afya

sosi maiko

Member
Sep 19, 2023
37
27
Mwezi wa 12 mwaka jana wizara ya Afya ilitangaza nafasi mbali mbali za kada ya Afya Kupitia Mfumo wa
 
Attachments

  • IMG-20240130-WA0000.jpg
    IMG-20240130-WA0000.jpg
    45.4 KB · Views: 8
Mwezi wa 12 mwaka jana wizara ya Afya ilitangaza nafasi mbali mbali za kada ya Afya Kupitia Mfumo wa Global Fund.

Wengi wetu naamini tuliomba. Lakini toka tarehe 18/12 hadi leo, hakuna Majibu yoyote, wala hatujaona PDF mtandaoni iliyoonesha watu wameitwa Usaili.

Habari za chini chini nasikia, watu washaitwa tayari kwenye interview.....

Mfano kwenye kada hapa chini wanaongelea nafasi mojawapo zile za M&E.

Kwani hizi taasisi siku hizi zikiajiri ni kimya kimya???View attachment 2889761
Waliitwa kupitia wizara ya afya
 
Attachments

  • 65b62c3694f25908097566.pdf
    280.3 KB · Views: 6
Mwezi wa 12 mwaka jana wizara ya Afya ilitangaza nafasi mbali mbali za kada ya Afya Kupitia Mfumo wa Global Fund.

Wengi wetu naamini tuliomba. Lakini toka tarehe 18/12 hadi leo, hakuna Majibu yoyote, wala hatujaona PDF mtandaoni iliyoonesha watu wameitwa Usaili.

Habari za chini chini nasikia, watu washaitwa tayari kwenye interview.....

Mfano kwenye kada hapa chini wanaongelea nafasi mojawapo zile za M&E.

Kwani hizi taasisi siku hizi zikiajiri ni kimya kimya???View attachment 2889761
Pole sana mkuu, unaonekana hauko updated.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom