Onyo kutoka wizara ya afya:

Onyo kutoka wizara ya afya:

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Ushabiki wa Arsenal ni hatari kwa afya yako. Zingatia, tafakari na chukua hatua!
 
They are now stressed and depressed ,killer diseases in this globalized world. 200%true.
 
They are now stressed and depressed ,killer diseases in this globalized world. 200%true.
 
mhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
kweli washabiki wa mipira hasa ya miguu mna majungu

kwa yanga na simba mnaandika wamepakatana
sasa hii avatar ya sulphadoxine si imekaa kimajungu jamani?
 
mhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
kweli washabiki wa mipira hasa ya miguu mna majungu

kwa yanga na simba mnaandika wamepakatana
sasa hii avatar ya sulphadoxine si imekaa kimajungu jamani?

Hakuna majungu kabisa wasiwasi wako tu,ndivyo upinzani ulivyo,ili kuepukana na hali kama hii lazima uwe mshabiki wa timu kubwa kama man.u//
polea sana fb kwa yaliyo kukuta jumapili...
 
mara ya mwisho kupata kichapo kama hicho ilikuwa 1899,,,hata man u walipata kichapo kama hicho mwaka huu
kutoka kwa marseile ya ufaransa hii ni ngoma droooo
 
mara ya mwisho kupata kichapo kama hicho ilikuwa 1899,,,hata man u walipata kichapo kama hicho mwaka huu
kutoka kwa marseile ya ufaransa hii ni ngoma droooo
Mavi yakale hayanuki,tunazungumzia 2011 na sio 1899 mwaka ambao ulikuwa bado aujazaliwa.hata hivyo pole sana kwa yalio kukuta jumapili.
 
Back
Top Bottom