Heshima kwenu wakuu
Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu
Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa
Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
Nfuate nkuelekezeee....Pls if possible nielekeze jinsi ya kufunga mie mgeni humu
Heshima kwenu wakuu
Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu
Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa
Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
MweeeehWatumbuwe tu wamezowea hao. Lakini tazama sheria za JF kwanza zinaruhusu?
Mie huwa nnawachunia tu sijibu kabisa PM ya mtu.
DahHeshima kwenu wakuu
Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu
Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa
Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
natafuta vipini vya kubana kitambaa kama hicho chako hapo shingoni nitavipata wapi wewe mamaWatumbuwe tu wamezowea hao. Lakini tazama sheria za JF kwanza zinaruhusu?
Mie huwa nnawachunia tu sijibu kabisa PM ya mtu.
natafuta vipini vya kubana kitambaa kama hicho chako hapo shingoni nitavipata wapi wewe mama
ahahaaa wewe mama wewe acha fix si plastic hizo huwa?Huyo kwenye avatar si mimi.
Lakini vipini vyangu vya hijab nimechongesha kwa sonara .
Umemsahau huyu? Naona karudi baada ya ukimyaWatumbuwe tu wamezowea hao. Lakini tazama sheria za JF kwanza zinaruhusu?
Mie huwa nnawachunia tu sijibu kabisa PM ya mtu.
Tutaje kwqni shingapi bhna..tunatishana daily tutajeHeshima kwenu wakuu