Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Kwani wagombea rasmi si ni wale majina yao yaliyotambuliwa na NEC?

Sasa huko Segerea hilo jina la huyo mgombea wa Chadema limepitishwa na NEC?
 
Kila aliyerudisha form kama hana pingamizi ni mgombea halali na kama hatajitoa jina lake litakuwepo kwenye ballot hata kama hatafanya kampeni.
 
Okay kwa jibu lako hili ina maana mgombea huyo wa Chadema hakupeleka ombi NEC la kujitoa...

Na pia hakuwekewa pingamizi lolote hata la kuzuga ili NEC iengue jina lake...
 
Yes,

Ukawa haijawaelekeza wagombea waliorudisha form kujitoa, jambo hili litawachanganya wapiga kura hasa wale ambao huchagua vyama.
 
Lengo lao labda ni kugawa kura CCM washinde
labda washalipwa ....wachunguzeni

Nimeisoma hii sentensi nikapata maana mbili tofauti.
Umesahau kuweka 'ili' baada ya neno 'kura'
 
Hao ndio Chadema wa leo ni watu wa ajabu sana, Kunduchi Halima Mdee amesababisha wagombea wote waliochukua fomu na kuingia katika mchakato wa Udiwani wa kata ya Kunduchi eti hawafai ana mgombea wake anaitwa mfinanga, ambaye hakuchukua fomu wala kuingila kwenye kura za maoni ya ndani, ndio wamempa kugombea, jamaa hana kitu viongozi wa kutukuka walioitumikia nchi hii wamekatwa kwa mapenzi ya Halima Mdee, sasa basi jamaa wa CUF aliyechukua fomu na kujaza na kuanza kampeni kwa sasa ameagizwa kuacha mara moja huyo mteule wa halima apita, tutahakikisha CCM inachukua sio tu kata hiyo bali hata jimbo lenyewe kwa kumpigia kura na kumpitisha Kippe warioba Halima wakampe viti maalumu
 
Mwe! ni lini nilikuomba heshima? Kama wewe ni Chadema kweli mwambieni kenge wenu Kidera akijs kumnadi Anatropia wote mvae elementi za pikipiki kichwani.

Duh naona hali si nzuri huko watu wanatakiwa kuvaa elementi za pikipiki badala ya Helmet.
 
Asante sana kwa tarifa yako ya kujenga ukawa ni angalieni hilo naomba tueshimu makubaliano ya kamatii kuu
 
Wewe hujui siasa, sasa ngoja nikufunze siasa, tafuta orodha ya wapiga kura jimbo zima na kila kata halafu ziangalie kata za buguruni na vingunguti ambazo mitaa yotr iko chini ya Cuf, halafu akili zitakurudia, kwani Chadema katika kata 13 za jimbo la Segerea ina madiwani kata ngapi?

Wapanga mikakati ya ushindi wa Chadema ndio sisi na tunaijuwa nguvu ya mgombea wa ccm waweke mgombea wa aina gani ili kupata ushindi.

Naomba nipe idadi ya wanachama wa Chadema jimbo zima ili tubishane kisayansi sasa.
Siasa ni sayansi na hesabu haziongopi data hizo hapo na wewe toa za kwako

nakuja kwa data tuone mimi na wewe nani amfundishe siasa mwenzie
Jimbo la Segerea ni moja ya majimbo nane (8) yaliyoko mkoa wa Dar es salaam, ni jimbo jipya lililoanzishwa mwaka 2010 kwa kugawa jimbo la Ukonga, na sasa kuna jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea.

Jimbo la Segerea limepata Umaarufu baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 kwa chama cha Chadema kufanya vizuri kwenye uchaguzi huo na kuweza kupata madiwani wawili wakuchaguliwa toka kata ya Segerea na kata ya Kimanga na moja wa viti mwalimu.

Lakini umaarufu zaidi ulipatikana pale ngombea wa nafasi ya Ubunge bw Frey Mpendazoe kuchakachuliwa wazi wazi mchana kweupe.
Matokeo ya kura kwa uchakachuaji huo:-
Ccm walipata kura 43,0000
Chadema kura 39,0000
Cuf kura 18,000

Chadema waliendelea kupiga Kazi kubwa na uchaguzi wa mwaka Jana wa serikali za mitaa Chadema walipata mitaa 16 na Cuf mitaa 11 pia chadema walipata uwakirishi wa wajumbe kila kata tofauti na Cuf wao watipata ushindi kata tatu tu nazo ni Buguruni, Vingunguti na Kiwalani pekee.
sasa njoo na data zako tuone nani mkweli nieleze ccm walipata kura ngapi,chadema kura ngapi na cuf kura ngapi pia kila chama kilishinda kat ngapi

Naomba nipe idadi ya wanachama wa Chadema jimbo zima ili tubishane kisayansi sasa.[/QUOTE]
 
Taarifa nilizozipata asubuhi hii Anatropia wa Chadema amekubali maamuzi ya UKAWA na atamuunga mkono Mtatiro, na natowa wito kwa Ukawa sehemu zote ambazo zilikuwa na utata wagombea waliokubali kukaa pembeni vyama viandike barua kwenda tume ili wagombea hao wasiwepo kwenye karatasi za kura zitawachanganya wananchi.
 
We kamanda unatisha mkwara wako was Jana Dada kanywea
 
Taarifa nilizozipata asubuhi hii Anatropia wa Chadema amekubali maamuzi ya UKAWA na atamuunga mkono Mtatiro, na natowa wito kwa Ukawa sehemu zote ambazo zilikuwa na utata wagombea waliokubali kukaa pembeni vyama viandike barua kwenda tume ili wagombea hao wasiwepo kwenye karatasi za kura zitawachanganya wananchi.

Ahsante sana Matola
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli ila siku ya pili uongozi wa Ukawa walitowa maamuzi jimbo la Kigamboni aachiwe mgombea wa Chadema na kwetu Segeres akateuliwa kamanda Mtatiro.

minashauri wote wasimame jamani kigamboni cuf ina nguvu na juma mkumbi anakubalika hivyo,na wa cdm anataka, tena hawanawake kote wana matatizo, wana tamaa huko kigamboni ni mchadema wakike na hapo segerea mchadema wakike. Basi majimbo yote wasimame wote chuya na mchele zitapembulika.
 
Segerea kimeeleweka ni Mtatiro, ushindi ni mapema asubuhi tunapiga kura tunalinda kura na tunahakikisha mshindi anatangazwa same day.
Segerea litakuwa jimbo la kwanza Tanzania nzima kupata matokeo ya mbunge, mwaka huu hatuna utani ama zao ama zetu we will win the game,
 
Segerea CCM wanashangilia...ushindi njenje wanasema Mtatiro arudi ubungo...
 
Siasa ni sayansi na hesabu haziongopi data hizo hapo na wewe toa za kwako
Wapanga mikakati ya ushindi wa Chadema ndio sisi na tunaijuwa nguvu ya mgombea wa ccm waweke mgombea wa aina gani ili kupata ushindi.
nakuja kwa data tuone mimi na wewe nani amfundishe siasa mwenzie
Jimbo la Segerea ni moja ya majimbo nane (8) yaliyoko mkoa wa Dar es salaam, ni jimbo jipya lililoanzishwa mwaka 2010 kwa kugawa jimbo la Ukonga, na sasa kuna jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea.

Jimbo la Segerea limepata Umaarufu baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 kwa chama cha Chadema kufanya vizuri kwenye uchaguzi huo na kuweza kupata madiwani wawili wakuchaguliwa toka kata ya Segerea na kata ya Kimanga na moja wa viti mwalimu.

Lakini umaarufu zaidi ulipatikana pale ngombea wa nafasi ya Ubunge bw Frey Mpendazoe kuchakachuliwa wazi wazi mchana kweupe.
Matokeo ya kura kwa uchakachuaji huo:-
Ccm walipata kura 43,0000
Chadema kura 39,0000
Cuf kura 18,000

Chadema waliendelea kupiga Kazi kubwa na uchaguzi wa mwaka Jana wa serikali za mitaa Chadema walipata mitaa 16 na Cuf mitaa 11 pia chadema walipata uwakirishi wa wajumbe kila kata tofauti na Cuf wao watipata ushindi kata tatu tu nazo ni Buguruni, Vingunguti na Kiwalani pekee.
sasa njoo na data zako tuone nani mkweli nieleze ccm walipata kura ngapi,chadema kura ngapi na cuf kura ngapi pia kila chama kilishinda kat ngapi

Naomba nipe idadi ya wanachama wa Chadema jimbo zima ili tubishane kisayansi sasa.
[/QUOTE]

sasa umefanya vizuri yani pamoja na kufanya kazi kubwa ya sana meizidi cuf mitaa mitano,cuf ambayo haijafanya kazi kubwa. Unasifia kuwa mmechukuwa wajumbe kila kata,tunafahamu maeneo yenu mligoma kuweka mgombea wa cuf wa ujumbe maeneo ya cuf, cuf hawakuwa wachoyo walichanganya wakawaweka na wajumbe wa cdm, tunafaham pia chadema ilisimamisha wagombea maeneo yote hadi kwenye ngome za cuf ili kuharibia cuf,lakini cuf hawakusimamisha mitaa hiyo mlioshinda kwa wingi. Vigunguti buguruni kote huko mlisimamisha wagombea.
 
Hakuna kitu kama hicho, hilo jimbo tangu mwanzo lilikuwa limeachwa kwa ajili ya CUF, haka kasichana kajinga sana hebu kamwachie Mtatiro! Nilipenda ile kaulimbiu yake, Mtatiro Julius - Segerea, ushindi saa 2 asubuhi!! Kama huyu dada naye anaenda kwenye hizo kampeni haramu atakuwa anatumiwa na ma-ccm, hebu asubiri ukuu wa wilaya huko!!!
ndugu.. ukuu wa wilaya upi tena. Ukawa wakishika inchi hivyo vyeo vinafutika.. au wew upo tanzania ipi. Mwaya subiri ubunge viti maalum dada angu.. muachie mtatiro.. hii ngoma ngumu!..
 
Back
Top Bottom