Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Lakini huyu mdada kama nikweli bado anangangania.achunguzwe haraka.kama Dr amenunuliwa atashindwa huyo kununuliwa.
 
Nimepita Ubungo nimeona kuna jamaa la CUF pia limebandika picha zake linagombea ubunge huku likijua jimbo kapewa Kubenea
 
Kumbe wewe siyo mwanachama wa Chadema wala CUF kwa nini unataka kuwachagulia wenzako mgombea?
Wewe hujui ulisemalo, viongozi wako ndio wanaonijuwa mimi mnaona maofisi tu ya Chadema yanapendeza hamjui pesa zinatoka wapi.

Chadema ngazi ya kata ina uwezo wa kugharamia hata mkutano wa hadhara wa kutumia laki tano? Mnajuwa chama chenu huku chini kinawezeshwa na kina nani?

Kwahiyo siku ya kupiga kura mtapigiana wenyewe?

Kata yangu waliojiandikisha kwenye BVR ni elfu ishirini, je mnao wanachama wangapi kata hii? Ccm leja yao wana wanachama 600 ingawa hawajielewi mamluki ni kibao humo.

Nawaomba mtuheshimu tulioamuwa kupiga vita ya kuing'oa ccm bila kuwa wanachama wa Chadema.
 
Tutawashughulikia wahuni wote waliopo Chadema kwa namna inayofaa, hakuna muda wa kuchunguza Kibera akithubutu kukanyaga kwenye kata yetu na Anatropia tutamtahiri kwa mara ya pili, adhabu za kikurya nazijuwa vizuri.

Ongeeni muelewane bila hasira na ubabe..kumbuka mnahitaji kura zao pia
 
UKWELI ambao uko wazi ni kwamba kwa majimbo yote yale ambayo UKAWA wameshindwa kukubaliana kama vile Segerea, Mtama, Masasi, etc majimbo hayo yatakwenda CCM.

UKAWA lazima wawe makini, zipo aina nyingi za KUUZA jimbo kwa CCM, na hiyo ni njia mojawapo. Haiwezakani wagombea wawili wa UKAWA washindwe kukubaliana wakati wanafahamu fika wakisimama wote wawili, hakuna atakayeshinda, jimbo litachukuliwa na CCM.

Kwa hali hiyo lazima kutakuwa na mmoja wao tayari ameshahongwa na ameamua kuuza jimbo kwa CCM kwa njia hiyo.
 
Bobuk sisi km wapiga kura wa segerea hususan tabata! tukiwa wana cdm kindakindaki tumembariki mtatiro agombee segerea! tofauti na hapo ni vikundi vya janjaweed vya ccm!
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Segerea mtuachie wenyewe, hakuna siasa vuguvugu mwaka huu? Narudia tutawashughulikia wahuni wote waliopo Chadema jimbo la Segerea kwa namna ifaayo. Tumeshawachoka makuwadi wa ccm.

Kila mwenye akili timamu anajuwa Mtatiro anashinda uchaguzi huu tena kwa kura za Mafuriko.
Kata tano za jimbo hili zenye wapiga kura wengi ni ngome imara za Cuf, ukichanganya ngome za Chadema Tabata, segera na Kinyerezi huyu Bona Karua wa ccm atatokea wapi?
Huwezi ku solve vurugu kwa kufanya vurugu,

hata kama sio wapigakura wa Segerea hatuwezi kuacha kuhoji kwa vile doa la Ukawa-Segerea ni doa la wana Ukawa wote,

Ukizingatia wewe sio mwana Ukawa unataka tukueleweje!
 
Hivyo vitisho unavileta hapa JF usaidiweje?.

UKAWA wote ni wachumia tumbo....huyo Mtatiro alikwishasema hapa kuwa hana tamaa ya madaraka sasa si ajiondoe amuachie huyo dada...mfumo dume haufai...

Halafu CUF na CHADEMA wote wanagombania kushindwa kwani jimbo hilo la CCM.
 
Wewe hujui ulisemalo, viongozi wako ndio wanaonijuwa mimi mnaona maofisi tu ya Chadema yanapendeza hamjui pesa zinatoka wapi.

Chadema ngazi ya kata ina uwezo wa kugharamia hata mkutano wa hadhara wa kutumia laki tano? Mnajuwa chama chenu huku chini kinawezeshwa na kina nani?

Kwahiyo siku ya kupiga kura mtapigiana wenyewe?

Kata yangu waliojiandikisha kwenye BVR ni elfu ishirini, je mnao wanachama wangapi kata hii? Ccm leja yao wana wanachama 600 ingawa hawajielewi mamluki ni kibao humo.

Nawaomba mtuheshimu tulioamuwa kupiga vita ya kuing'oa ccm bila kuwa wanachama wa Chadema.
Matola mbona unajulikana ulikuwa unatetea kundi la Zitto?
kama ulihama naye tafadhali usituchafulie chama.
 
Last edited by a moderator:
Naandika kitu ninachokifahamu vizuri, jimbo hili ccm walisahau na wahuni wachache waliopo Chadema wakiongozwa na Kibera mwenyekiti wa jimbo la Segerea Chadema tutamshughurikia ipasavyo.

Mi CHADEMA na naunga mkono 100% Mtatiro kusimama jimbo hilo.

Tatizo lako Matola umewasilisha na unachangia hii mada kwa jazba sana.
Nadhani lugha ya maridhiano itajenga zaidi kuliko kutishana.

Ni hayo tu.
Mabadirikoooooooooo
 
Wote tunafahamu uongozi wa Ukawa umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa Chadema kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi Ccm na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya Chadema wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya Ukawa tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

sasa mbona Jangwani walitangazwa wote, wewe una mamlaka gani kushinda viongoz wako
 
Kakulipa shillingi ngapi uyo Mtatiro...
Upuuzi wa Chama chakavu usilete ukawa alaf pia ukumbuke kauli yako sio ya watz wote waishio hapo...
So wacha wana Segerea wamchague wanaomtaka ...
Alaf siku nyingine ujiheshimu na kauli zako eti
"
Nawaonya Chadema wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima."
Slaa na wengine wengi wametushindwa wewe utatuwezea wapi...???
 
segerea tunaenda mjengoni na mtatiro! against this ni uchochezi wenye maslahi kwa ccm! km ulivyo wa Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona Jangwani walitangazwa wote, wewe una mamlaka gani kushinda viongoz wako

Ni kweli ila siku ya pili uongozi wa Ukawa walitowa maamuzi jimbo la Kigamboni aachiwe mgombea wa Chadema na kwetu Segeres akateuliwa kamanda Mtatiro.
 
Wote tunafahamu uongozi wa Ukawa umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa Chadema kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi Ccm na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya Chadema wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya Ukawa tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

mtatiro tulia haya mambo unayaingiria hutayaeeza wakati sisi tunajenga chama segerea wewe si ulikua unaandika makala tu na kuwapamba wagombea wa CCM!
Leo kuandika vijimakala vyako viwili vitatu vya kumpamba lowassa ndio unataka kula nguvu za watu kirahisi hivi haiwezekani!
Najua kwa sababu siku hizi umekua mchekeshaji wa mfalme na kufanya vimijadala vyako viwili na polepole ndio unataka kujimilikisha jimbo la segerea
FYI iwe jua iwe mvua lazima mgombe wa chadema lazima ajinadi.
tunajua unaweza ukafanya lobbying kwa kwenye uongozi wa juu laki tunakuhakikishia wewe panda majukwaani sisi tunapita chini kwa chini mtu kwa mtu na mgombea wetu wa chadema
Narudia tena wewe ulikua unaandika makala tu wakati sie tunapambana kuweka sawa hilo jimbo.
 
Wewe yawezekana ni mgeni hapa JF, wenzako wenyeji wote wa jukwaa la siasa wananijuwa mimi ni Chadema die harder.

Sasa wale wahuni ambao nimewalenga ni kama wewe, Hakikisheni mnavaa element za pikipiki mkija kwenye kata zetu bila mgombea tunayemtambuwa tena mbebe na visanduku vya first aid na msisahau kuweka na nyuzi za kuwashonea.
 
Kweli kujificha nyuma ya keyboard na kuandika rahisi jamani. Sasa mheshimiwa mtoa mada wewe si ulikuwa eneo la

tukio,

hatua gani ulichukua? Au ndio yale yale kitu kinakuudhi unaenda kumsimulia mkeo nyumbani kisha unalala. Tumia mkono

wako kuondoa uchafu, huyo Kibela sijui unayemzungumzia inawezekana hii message yako haioni.

Mwisho wa siku ubunge ni maslahi ya mtu binafsi ndio maana hata huyo Mtatiro anang'ang'ania hapo kama huyo dada ya

Chadema anavyofanya. Kila mtu anaangalia maslahi yake kiuchumi zaidi.
 
hii ndio demokrasia tatizo watu wa chini wanamenyeka watu wa juu mnafanya maamuzichadema segerea wamefanya kazi kubwa ndio maana wameshinda kata nyingi kuliko cuf sasa kama mtatiro watu wa juu wameona wanafaa walipaswa kupata ridhaa ya watu wa chini vinginevyo jimbo litarudi ccm
 
Kama anafanya hivyo ni wa kumwambia ahache kugawa kura kwa ccm na kwa kuwa CUF ndo wamepewa hilo jimbo acha waendeleze ukombozi wa kweli ndani ya UKAWA kwani waliotoka wangeturudisha nyuma,
Lipumba na Dr Slaa
 
Back
Top Bottom