Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Inawezekana huyo mama keshalipwa na ccm manake ccm wana kama bili 16 hivi za kuwanyamazisha tuu.
 
hii ndio demokrasia tatizo watu wa chini wanamenyeka watu wa juu mnafanya maamuzichadema segerea wamefanya kazi kubwa ndio maana wameshinda kata nyingi kuliko cuf sasa kama mtatiro watu wa juu wameona wanafaa walipaswa kupata ridhaa ya watu wa chini vinginevyo jimbo litarudi ccm

Wewe hujui siasa, sasa ngoja nikufunze siasa, tafuta orodha ya wapiga kura jimbo zima na kila kata halafu ziangalie kata za buguruni na vingunguti ambazo mitaa yotr iko chini ya Cuf, halafu akili zitakurudia, kwani Chadema katika kata 13 za jimbo la Segerea ina madiwani kata ngapi?

Wapanga mikakati ya ushindi wa Chadema ndio sisi na tunaijuwa nguvu ya mgombea wa ccm waweke mgombea wa aina gani ili kupata ushindi.

Naomba nipe idadi ya wanachama wa Chadema jimbo zima ili tubishane kisayansi sasa.
 
Mtatiro anatosha tumekubari kwa nini huyo jinga kubwa analeta ujinga Cdm tuliangalie hilo hilo mama kama vip ahamie ccm
 
Wote tunafahamu uongozi wa Ukawa umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa Chadema kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi Ccm na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya Chadema wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya Ukawa tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

Mkuu hiki kichwa cha thread umekikosea ungesema Antropia na huyo Mkurya waache uhuni,sie wanachadema tupo na Mtatiro tunataka mabadiliko
 
Wote tunafahamu uongozi wa Ukawa umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa Chadema kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi Ccm na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya Chadema wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya Ukawa tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

Onyo unawapa JF kwanini usiwafuate ofisini kwao?
 
Ni kweli aisee... Kwa issue ya Segerea Chadema waache uhunu
 
Matola nina mashaka wameshavuta mpunga wa magamba. Ila pia UKAWA na Chadema wamekaa kimya hawafuatilii haya mambo. Huko Kusini jimbo la Mtama nako ni tabu. Huko Mbeya nako kuna jimbo nasikia cuf na cdm wamesimamisha wagombea. Ukawa msitutie hasira. Jimbo la Temeke pia sioni mgombea wa cuf akipiga kampeni na mabango au vipeperushi vyake hakuna. Vya mtemvu wa chchemeee mzee wa madili limetapakaa askari hana lolote alifanyia jimbo.
 
Last edited by a moderator:
Jaman huyo m/kiti wa jimbo hajamnadi Anatropia ila alikiwa na kamati tendaji ya jimbo na kuwaambia wasizindue kampen za ana mpaka taarifa rasmi toka makao makuu ya cdm kuwen wastaarabi na lugha mnazotumia!
 
Ukweli ni kuwa segerea walipaswa kimpitisha mgombea wa chadema. Chadema ina nguvu sana kwenye hilo Jimbo na imejijenga kwa muda mrefu

Acha kujidanganya wewe, Mpendazowe tulimuwezesha kushinda mwaka 2010 kwa sababu Makongoro Mahanga alishachokwa.

This time tukiacha ushabiki ccm ina mgombea bora, yeye ndio diwani bora Tanzania.

Labda kama hujui kura zinaamuliwa na undecided voters ambao ndio wengi na hawajui wabunge, ila Mtatiro ni jembe na ni maarufu nchi nzima huyu anauzika kirahisi tu.

Lakini Anatropia wa Chadema hajurikani labda kata anayotoka.

Msijidanganye mkadhani kura zinapigwa na wanachama wa vyama tu.

Mimi ni mkazi wa jimbo hili kwa zaidi ya miaka 30 sasa tangu liko ilala then Ukonga na sasa ni segerea.

Siasa za kulazimisha Chadema itawale kote ni ushamba, tena usilolijuwa ni kwamba kata zote ambazo ni ngome za Cuf kura huwa haziyumbi wala hazibadiriki kama unavyoona pemba.

Kata kama Buguruni na Vingunguti zitabakia kuwa ni ngome thabiti za Cuf, na sasa Cuf imeshajenga ngome imara kata zote mbili za Kiwalani.
 
Matola nina mashaka wameshavuta mpunga wa magamba. Ila pia UKAWA na Chadema wamekaa kimya hawafuatilii haya mambo. Huko Kusini jimbo la Mtama nako ni tabu. Huko Mbeya nako kuna jimbo nasikia cuf na cdm wamesimamisha wagombea. Ukawa msitutie hasira. Jimbo la Temeke pia sioni mgombea wa cuf akipiga kampeni na mabango au vipeperushi vyake hakuna. Vya mtemvu wa chchemeee mzee wa madili limetapakaa askari hana lolote alifanyia jimbo.

Unajuwa mkuu mimi nimezaliwa Wiles ya Temeke, ila jimbo hili la Segerea nimeishi kwa zaidi ya miaka 30, nina uchungu nalo wa dhati hatutokubali wahuni wachache watuvuruge tutaonesha mfano ili siasa za kuhuni zikome.
 
Last edited by a moderator:
Jaman huyo m/kiti wa jimbo hajamnadi Anatropia ila alikiwa na kamati tendaji ya jimbo na kuwaambia wasizindue kampen za ana mpaka taarifa rasmi toka makao makuu ya cdm kuwen wastaarabi na lugha mnazotumia!

Subiri nitakuwekea picha hapa.
 
matola , kwanini onyo lako limeelekezwa chadema badala ya kumuonya kibera ? kwanini unamwaga mikwara badala ya kuelekeza ? umetumwa na nani ?
 
kama ni kweli, binafsi naomba aachiwe Mtatiro kwani anaonyesha dhahiri ana uwezo.

Mbali ya uwezo alio nao Julius Mtatiro ni haki yake kwa makubaliano ya mgao uliofanywa na viongozi wa ukawa. Jimbo hilo lilikabidhiwa chama cha C.U.F. na ndicho kilichompitisha Mtatiro. Hata wakati wa uzinduzi wa kampeni za ukawa m/kiti wa chadema mh. Mbowe aliliweka wazi jambo la ubunge wa Segerea na kusema mgombea halali wa jimbo hilo ni Mtatiro na kuwwa yule dada wa chadema asubiri kipindi kingine agombee. Sasa huyo m/kiti anaeweza kukaidi madaraka ya m/kiti wa kitaifa na kumnadi mgombea wa chadema ana mamlaka gani? Hivi huko kupitapita kwao wakikumbana na nguvu ya wana Segerea watamlaumu nani? Wamepewa rushwa na chama gani kugawa kura za watu wa Segerea?
 
Hakuna kura zitazogawika, tutawashughulikia wahuni wachache wa Chadema wakiongozwa na jinga hili Kidera.
 
Naunga mkono hoja. Asieheshimu protokal ya ukawa na apigwe tu maana hamna namna nyingine
 
Hilo jimbo ni la Mtatiro, Chadema tafadhali tuache tamaa.
 
Back
Top Bottom