Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Onyo: CHADEMA iache uhuni huu mara moja jimbo la Segerea

Taarifa nilizozipata asubuhi hii Anatropia wa Chadema amekubali maamuzi ya UKAWA na atamuunga mkono Mtatiro, na natowa wito kwa Ukawa sehemu zote ambazo zilikuwa na utata wagombea waliokubali kukaa pembeni vyama viandike barua kwenda tume ili wagombea hao wasiwepo kwenye karatasi za kura zitawachanganya wananchi.

huu ni uzushi kabisa anatropia hawezi kubali kuachia, kama ni hivyo juma mkumbi kule kigamboni usiachie kirahisi,na cuf ya kigamboni kama mnakubali ukawa asimame cdm mmeliwa kwani. Cdm inayataka majimbo yote mawili ndomana anatropia hawezi jitoa. Nawe juma mkumbi chonde usijitoe. Muende hivyo mpaka mwisho wananchi wataamua vivyo hivyo segerea
 
Segerea CCM wanashangilia...ushindi njenje wanasema Mtatiro arudi ubungo...

Labda Segerea jela ksma ccm mnalo jimbo mule endeleeni kushangilia.

Bona Karuwa aliwahonga elfu kumi kumi ili kumuangusha Makongoro Mahanga sasa mwambieni shuzi limepata mjambaji afanye saving pesa zake atakuja kujuta yeye bado kijana mdogo afunguwe biashara yoyote maana mipesa anayo lakini Ubunge asahau kabisa.
 
ndugu.. ukuu wa wilaya upi tena. Ukawa wakishika inchi hivyo vyeo vinafutika.. au wew upo tanzania ipi. Mwaya subiri ubunge viti maalum dada angu.. muachie mtatiro.. hii ngoma ngumu!..
Sidhani mkuu kama hiyo sheria itaanza ghafla kiasi hicho, lazima ichukue muda mpaka iingizwe kwenye katiba watu watakuwa wameshapiga kazi kidogo. Hivyo naamini hata UKAWA wakishinda hivi vyeo lazima vitakuwapo angalau kwa kipindi cha miaka miwili!!
 
Wote tunafahamu uongozi wa UKAWA umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa CHADEMA kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi CCM na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya CHADEMA wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya UKAWA tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

Hizi lugha hazistahili kutolewa na MWANA UKAWA maana UKAWA wanaamini katika MARIDHIANO,Uwe mpole walioasisi umoja huo watamaliza kwa pamoja na ninaimani itaisha salama siyo kutumia maneno ya CCM,Akihongwa mbunge mwaka huu ajiandae kwenda kaburini
 
Hakuna kura zitazogawika, tutawashughulikia wahuni wachache wa Chadema wakiongozwa na jinga hili Kidera.

Ushauri mwingine ni kwamba kwa kuwa wote mpo Dar basi kiongozi mmoja haswa wa chadema ajaribu kufika makao makuu ya chama Kinondoni na kuchukua barua itakayomzuia mgombea yeyote wa chadema kufanya mikutano ya kujinadi kwa nafasi ya ubunge.Hilo anaweza hata kulifanya Mtatiro anaefanyiwa hayo maovu. Ndugu zangu muda haumsubiri mtu.Mgombea wa ccm anaendelea kuchanja mbuga huku ninyi mkipoteza muda kwenye malumbano.Kwa kuwa ukawa haujaandikishwa kisheria basi sio polisi wala m/kiti wa tume anaeweza kumchukulia hatua yoyote ya kisheria wala ya kumzuia kugombea ila chama chake chadema kina uwezo wa kumkatalia kugombea na akighairi anaweza hata kufukuzwa uanachama.
 
ImageUploadedByJamiiForums1441368349.727615.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1441368378.663325.jpg
 
Wote tunafahamu uongozi wa UKAWA umempitisha Jurius Mtatiro kugombea jimbo la Segerea na anazinduwa kampeni jumamosi.

Sasa kuna Mkurya mmoja tena ni mpumbavu wa karne mwenyekiti wa jimbo anaitwa Kibera ameanza mikutano ya hadhara kumnadi Anatropia wa CHADEMA kwenye Ubunge.

Segerea tumeshateseka vya kutosha hakuna namna tena ya jimbo hili kurudi CCM na mtu sahihi wa kuchukuwa ushindi saa mbili asubuhi tu ni Mtatiro.

Nawaonya CHADEMA wote watakaoshiriki kampeni hizi haram tutawashughulikia katika namna inayofaa na itakuwa mfano kwa wapuuzi wengine nchi nzima.

Msije mkasema hatukuwaonya hatutanii katika hili na hatuko tayari kima yoyote kucheza na hisia zetu.

Mtatiro anatosha Segerea ushindi ni mapema asubuhi.

Narudia tena onyo kwa Kibera ukiendelea na upuuzi huu wa kutokuheshimu protocal ya UKAWA tutakufundisha adabu kwenye kata utakazopita labda uishie hukohuko Tabata.

Naandika thread hii nikiwa na Wakurya hapa kitunda muda huu.

hawa wengine hawapo kwa maslahi ya ukawa wala chadema, wapo kwa maslahi ya CCM, huyo kibera ni anajifanya anamsadia huyo dada wakati anaisaidia ccm. nia ni kuzigawa kura za Ukawa ili CCM washinde
 
Back
Top Bottom