Onyesha uzalendo sambaza upendo

Onyesha uzalendo sambaza upendo

gatty

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
64
Reaction score
13
Kuna mwana JF humu unampenda ila unashindwa kumwambia, funguka bila kusita ya mungu mengi haaaahaaa haahaa keep smiling
 
Mimi nakupenda wewe gatty


||"You were too young to understand"||
 
Last edited by a moderator:
dah kuna kabint flan! kenyewe kanajijua tu kakisoma hapa
 
Unataka gesti haaaaahaa umeniachaga hoi
 
Funguka the Dude kho kho kho lambda hakajijui mweeeh
 
Vaislay...huwa ananipa kigugumizi cha moyo,basi tu sina bahati.

Cc Vaislay
 
Nilale wapi nawakat nyumba inatakiwa kujengwa haaaaaha mvua imenyesha nikapata aidea ya kumbatio lol....!!!
 
mm nawapenda wanajf wote wala sibagui na wala sichagui
kwani ni marafiki zangu wote hakuna mdogo wala mkubwa
 
Back
Top Bottom