tian
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 1,770
- 538
Erotic love ni upendo wa aina gani?
Upendo unaohusisha hisia za kimapenzi baina ya mke'na mme'
Erotic love ni upendo wa aina gani?
Upendo unaohusisha hisia za kimapenzi baina ya mke'na mme'
kumbe ndo hivyo nilikuwa sijui kabisa asante ka kunielewesha