Ontario(SirJeff): Tanzania's youngest tycoon

Ontario(SirJeff): Tanzania's youngest tycoon

Mnaomlalamikia sana jamaa mtakuwa na matatizo coz huyu mshkaji niliwahi kumwona katika gazet pendwa la the citizen mwaka jana mwez kama wa tano au sita hiv
 
Mtoto wa watu apumzike sasa...

Si kwa nyuzi hizi asee
 
Toa tu taarifa anapatikana wapi kwa hivi sasa, mengineyo baadaye akishapatikana.
 
sirjeff_dennis-20171126-0001.jpg
hela zetu za forex daah😡😡😂😂
 
Back
Top Bottom