Only in Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Only in Tanzania!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kinyungu, Jul 16, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hivi ikitokea siku serikali JMT ya chama cha mapinduzi ikatoa msaada wa kujenga choo New York inaweza kuweka Bango la namna hii kweli? Kweli umasikini kitu kibaya! Hii ni ujenzi wa maabara huko Bagamoyo Hospital. Ila bango ni kama hii nchi ni mali ya US!

  IMG_8315.JPG
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nooooo....that can't be!!!!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kila mradi anaopewa mkandarasi lazima liwekwe bango kama hilo, si hao USG walioweka sheria hizo, hizo ni sheria zetu wenyewe.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  haujaelewa wewe wenzio wanasema nini!?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio hujaelewa mimi nimeandika nini.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  embu nielewesheni mie kilaza,nini mnaongelea hapa?:israel::redface:
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Mkuu hii ipo bagamoyo kama unaweza nenda kaone hawajaondoa hadi sasa. Japo huko ulipo ni mbali
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasiandike URT waaandike kana kwamba huo mradi uko kwenye ardi ya US?
   
 9. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  angalia maandishi ya kwanza, kabisa mwanzoni mwa bango- juu. una sababu gani ya kuandika US Gorvenment na si serikali ya tanzania?.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani URT ndio inajenga huo mradi?
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Are you sure this is "only in Tanzania" ? Or is this only for some dramatic effect?

  What are you trying to say? That no other country receives foreign aid from the US?

  That the US does not receive foreign aid? Or are you criticizing the presentation above?

  Hujaeleweka umejikita wapi bado.
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ana maana kwamba hako ni kamradi kadogo sana kwa nchi kujitangaza kukagharamia.kwa kifupi anhisi aibu halafu usiutetee udhaifu wako kwa kujilinganisha na ubovu wa mtu mwingine.misaada ni utumwa.
   
 13. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Hizi ni faida chache kati ya nyingi zitakazokuja zitokanazo na safari za VASCO DA GAMA
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280

  Walimaanisha ''us government'' yaani ''sisi serikali''........kusisitizia tu wa wala si US government.......si unajua tena Bagamoyo ndio chimbuko la serikali?
   
 15. L

  Luluka JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ha ha!mi nadhani wa kumlaumu hapo ni huyo mkandarasi coz ndo aliyeweka hilo tangazo hapo,ingawa sheria inawataka kufanya hivyo lipo chini ya kiwango.au nimekosea jamani?
   
 16. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhh!!!!!!!!!!!! tafadhali ndugu yangu zihurumie mbavu zangu basi
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa...
  Tatizo sio serikali ya Marekani wala nini.....
  Maandishi ya kwenye bango yako ndani ya uwezo wetu......aliyeandika/kusanifu hilo bango ni kiazi.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hujui unasema nini mkuuu makosa ya board hiyo hapo juu ndo yanayosemwa hapa!
  kosa kubwa ni kuwa ni owner wa huo mradi juu kabisa imekosewa hawezi owner akawa USA!
  huyo ni mtoa pesa tuu mradi si wao ni wetu!
   
Loading...