Only in Tanzania

Umesahau ndo nchi pekee unaweza kuegesha gari lako baa na ukapiga udirinki kisha ukaendesha mpaka unapotaka mfano mvunguni mwa lori, mtaroni, usoni mwa daladala, nyuma ya gari la shule na ukiwa na bahati mbele ya geti la mochwari yoyote, hapo utalala kimyaaa!! Tuliii!! Huku ukijisosomoa mabarafu ya humo na kibaridi kupoza joto na karaha za kuendesha ukiwa bwaaaaxxx. Familia za wote ulimopita kugonga zinalia na kusaga meno! Hii ndo TZ yetu. TZ oyeee!!
 
Nchi yetu ndio pekee duniani yenye matatizo haya mawili kwa wakati mmoja:
  1. Hatuna umeme kwa sababu ya upungufu wa maji
  2. Hatuna maji kwa sababu ya upungufu wa umeme

Sasa mkuu hapo kipi kinamtegemea mwenzake?
 
Vyote hapo,kama tunategemea H.E.P maji lazima.......pia umeme unasukuma maji.....ndio maana MLandiz hakuna mgao wa umeme kwa sababu ya mitambo ya Ruvu
Sasa mkuu hapo kipi kinamtegemea mwenzake?
 
Ni Tanzania tu, ambapo mtu akiiba anombwa arejeshe alichoiba!

Ni Tanzania tu, muuza madawa ya kulevya anajulikana hadi ikulu ila hakamatwi.

Ni Tanzania tu, ukiwa mwanasiasa unakua mtaalam wa kila kitu,

Ni Tanzania tu, mhalifu anapewa siku 90 ajisalimishe.
Ni Tanzania tu, Ni Tanzania tu, Only in Tanzania JAMANI Ni Tanzania Tu!
 
Nakupenda Tanzania!
 
ni tanzania tu ambapo askari wanatumia silaha za moto hadi kwa wanafunz wa chekechea afmajambazi na mafisadi wanakula shushu mitaani bila hofu"looooooooooooooooooooooool i love youuuuuuuuuuuuuuu magambaz shame on you
 
Back
Top Bottom