Habari,
Binafsi nimekua nikichukizwa sana na hili suala la mgao wa umeme wadau, wakati fulani kisingizio kilikuwa ni upungufu wa maji sababu ya ukame, ila hata baada ya kushuhudia wiki kadhaa za kiwango cha juu cha mvua mfululizo bado suala la magao wa umeme limeendelea, najaribu kujiuliza shida ni nini?
Kama taifa tunaelekea kuanza uendeshaji wa treni ya umeme ila kiuhalisia shida ya umeme bado ipo sasa sielewi malengo yote haya yataweza vipi kukamilika.
Naomba kuwasilisha!