Nini hicho??
Hapo ujue ana siku tatu hesabu ya bosi hajatimiza hivyo ana ogopa kuhamishwa kitengo na kupelekwa FFNchi inahitaji mapato kwa namna yoyote...
Makosa yanapogeuzwa kuwa SOURCE OF INCOME.........Hapa kazi tu, tunakusanya kodi jamani tulieni tujenge nchi,sijui bahati mbaya akakutana na nyoka huko juu atafanyaje
Hiyo ndio Tanzania mkuuMakosa yanapogeuzwa kuwa SOURCE OF INCOME.........
1. Tutaviziana, badala ya kuelimishana
2. Tutalazimishana kisa nguvu ya dola, badala ya kuelimishana
3. Tutategeana kila mitego ilimradi kila mtu anaswe
4. Tutapewa makosa mengi ili ngalau libaki moja na unayepewa kosa uone kama umesevu kwa kupunguziwa makosa
Nchi yangu naililia....
Ili ifanyie nini hayo mapato?Nchi inahitaji mapato kwa namna yoyote...
Wakijua weye kisa cha mbwa mwitu na mwana kondoo?Dawa yao ndogo hao...tembea kama vibao vinavyoelekeza.