Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,279
- 61,241
Picha ya watu na majenereta haieleweki. Hebu toa maelezo kidogo ndugu!
Kuna crisis ya mafuta na huenda wakawa wanaogopa kuwauzia kwenye vidumu kwa kuogopa wanakwenda kuwarangua wengine hivyo kama ni gari uje nalo sehemu ya kununulia, pikipiki na generator hivyohivyo!Picha ya watu na majenereta haieleweki. Hebu toa maelezo kidogo ndugu!
Picha ya watu na majenereta haieleweki. Hebu toa maelezo kidogo ndugu!
Kweli haieleweki