Jamani wadada wa kibongo,kama wewe ni mdada upo ulaya na upo single au married but you have complicated relationship naomba tuwasiliane jamani.
Maana na mimi nipo huku kwa muda na nawish kuwa na mdada wa kitanzania ambaye tunaweza match together.Kwa waliopo Tz, am sorry kwa sababu za umbali sitoweza manage mawasiliano.
NB: Kama upo interested you can Pm, na tutawasiliana huko mengi zaidi hints nina 30's years, christian, & Tanzanian.
Asanteni