Online status za Whatsapp za wanawake

Online status za Whatsapp za wanawake

Sasa kama demu wako kafanya hivyo na hutaki si umuache tu.

Watu kama nyie ndio mmefanya whtsap waweke hizo privacy maana kila saa unataka uone alikuwa online saa ngapi.
 
Huchelewi kusema bunduki ilitengenezwa kwaajiri ya kuua watu wazuri na wabaya......

Au kusema hata magari yanavyopata ajari ni sehemu ya kazi yake mzungu alitengeneza iwe hivyo.

Hiyo kuhide status unaweza tumia kwa special cases ukisoma hata online utaona maelekezo yake......

Ila unajustfy vipi ati upo kwenye mahusiano unaficha status yako, tafasiri yake ni kwamba kuna watu hutaki wakutafute huku mumeo/mkeo akijua.......maana mnaweza kuwa mpo sehemu moja mfano sebuleni na anakuona kabisa unachat halafu akataka kukutumia kitu anashangaa upo offline.....unadhani atajisikiaje kama sio kuhisi kuna mtu unamficha huko nje......

Sio tabia nzuri kwakweli
We kweli Zwazwa,sasa mzungu alitengeneza gari au ajali???hainihusu mtu atakavyo jisikia,as long simu yangu,bundla langu. Go to hell
 
Vitu ambavyo najioneaga shida kuvifanya katika simu yangu..ni kujaza hayo mapassword..
 
Imagine ni mkeo haikupi wasi wasi kuwa anamficha nani kuwa hayupo online....?!
Nimesoma uzi wako nikaja kusoma na hii kauli yako napenda kukwambia pole sana kama unaona umeshindwa kuvumilia mwambie aelewee usipende kuweka hasira au mawazo yenye maudhi akilini kuweka status mtu asione sio kosa lakini kama ni mkeo haupendi inaonekana anakudanganya mwambie
 
Zinaniboa status za singo mazaz.
....MWANANGU NAKUPENDA SANA!

Mtoto hana hata simu, sana unamwambia yeye au!
 
Nimesoma uzi wako nikaja kusoma na hii kauli yako napenda kukwambia pole sana kama unaona umeshindwa kuvumilia mwambie aelewee usipende kuweka hasira au mawazo yenye maudhi akilini kuweka status mtu asione sio kosa lakini kama ni mkeo haupendi inaonekana anakudanganya mwambie
Ni kweli ......ndio maana nimehoji why watoto wa kike now days wanafanya hayo mambo mbona inakuwa ni changamoto.....
 
We kweli Zwazwa,sasa mzungu alitengeneza gari au ajali???hainihusu mtu atakavyo jisikia,as long simu yangu,bundla langu. Go to hell
Una shida somewhere kwenye akili yako, maana unadharau na majibu ya kejeli. So kama vipi baki ulivyo and don't mind my topic cause inawahusu watu ambao hii kitu inawakera.....

Kama wewe haijakukera it means upo group hiyo hiyo ya watu wa kuficha status ya WhatsApp......

Kwa mtu civilized sidhani kama ana haja ya kujificha status kuwa yupo online ama la.....

Ila kwa mtu ambaye ndio anakuwa michezo ya kitoto huwa ni sehemu ya maisha yake always na katu hawezi ishi na mtu anayejitambua maana michezo michezo hii kwenye mahusiano ni kero sana na inakatisha tamaa.....

So kama vipi, do tha bounce for me beib.....i didnt ask for your attention at all on this.....
 
Sasa kama demu wako kafanya hivyo na hutaki si umuache tu.

Watu kama nyie ndio mmefanya whtsap waweke hizo privacy maana kila saa unataka uone alikuwa online saa ngapi.
Ukiingia katika mahusiano rasmi na ukiwa serious na wewe hii hali itaanza kukusumbua ....

Ila kwasasa kama bado una ruka ruka uhusiano m'moja kwenda mwingine then fanya tu kuenjoy kuwa free kufanya unachotaka....when the time is up, you will understand the bigger picture!
 
Kwahiyo unataka ujue mtu kama yupo online ikusaidie nn?!

Kama mtu ulimkuta na simu na anajua matumizi yake ww hawara tu halafu unataka kumfuatilia muda wake wa kuwa online jua unajisumbua tu mwanamke hachungwi kama watu wanamkaza hata akiweka online status haisaidii
 
Unaona sasa hata haujaelewa.....na bado ajenda yako inabase kwenye mahusiano ya kihuni......

Mimi huwa sitambui mahusiano ya kihawara au ya kimchepuko, hiyo ni upotezaji wa muda kwa mtu anayejitambua na mwenye malengo ya maisha mazuri.

Ninazungumzia mwanamke ambaye upo nae katika mahusiano serious sio hawa michepuko, mke wako, au mchumba wako kabisa.....

Huyu akiweka online status ambayo itoa fake details it means aidha ni masaliti au anakwepa madeni, but the question is why mtu aishi kisanii hivyo na wakati maisha ni ya uhuru haya ....?!

So, sijaelewa unatetea nini bado, kuwa ni sawa watu kujificha kwa namna kama hiyo na kuendelea na ufuska au sio sawa?!
 
Kwahiyo unataka ujue mtu kama yupo online ikusaidie nn?!

Kama mtu ulimkuta na simu na anajua matumizi yake ww hawara tu halafu unataka kumfuatilia muda wake wa kuwa online jua unajisumbua tu mwanamke hachungwi kama watu wanamkaza hata akiweka online status haisaidii
Na ni kweli ni ngumu kumchunga nwanamke mtu mzima ila pia ni ngumu sana kuishi na mtu ambaye haeleweki anafanya nini na maisha yake yaani msanii msanii na wakati anakujengea mazingira kuwa ana commitment na wewe....thats pure evil....

Na usione ni sifa kuingia na kutoka katika mahusiano sababu mwisho wa siku unatakiwa kuwa na mtu m'moja wa kuishi nae maisha yako yote na kujenga nae familia.

Sasa kama mtu akileta mzaha wewe unaishia kumuacha, utaacha wangapi?! Na wanawake wa siku hizi now days kwa wingi wao mihaza ipo sana.....
 
Kwani nini tatizo.....si uamuzi wake tu!!

Kama ww huoni yake basi jua na yeye haoni yako....she doesn't care about you....why should you!!!?

beat it boy...
Hahahaaaaa!!!!!tatizo moyo kaka oooh haya mambo hadi ukwepe mishale mingi ndiyo utayaona ya kawaida
 
Mkuu kwani wewe hapo khasa kinakukera nini? unajua kuna vitu vyengine una jidumaza akili kwa jambo hata halina maana,cm yake aanafanya hayo kwa raha zake,usimchunguze kuku atakushunda kula chakufanya niku ignore sio kila jambo
lazima upate jibu mengine yasokua na lazima unaachana nayo .
 
Back
Top Bottom