Online status za Whatsapp za wanawake

Online status za Whatsapp za wanawake

Kwa hyo samcezar we umekuja duniani kuchungulia status za wanawake kwenye whatsapp
Nadhani haujanielewa......nimemaanisha kuna vitu muhimu sana vimetuleta duniani hapa zaidi ya pesa.....kama familia......so hawa tunaojenga nao familia wakiwa vichwa panzi lazima tuhoji!
 
Wanaume na nyie mmezidi sasa kulalamika!!
 
jamii forums bhana kila mtu tafta pesa unakuta anaesema hivyo anafugwa na dada yake au shemeji yake.
 
Mkuu,achana nao,tafuta pesa kwanza,,,yaani hawa viumbe bana,,mara umtext asifungue text,,na yuko onl,,,

Mkuu tafuta tu pesa kwanza,ukimsumbua sana ata ku block
Acha tu asee, nyodo mni
 
Ume
Nikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kitu
Hakika umenena vyema,kuna wengine kuna password ya ku-unlock simu,password ya kwenye sms za kawaida,password ya kwenye contact,password ya kwenye gallery,password ya kupokelea simu(yani huwezi kupokea simu yoyote inayopigwa bila kuweka password)halafu hizi password zote ni aina tofauti,Yani najiulizaga sana ni kitu gani mtu anaficha hivyo aiseee nakosaga jawabu naishia kucheka tu
 
Mi napenda sana privacy yangu najua sijilindi kwa asilimia mia lakini ni fool proof way.

So yeah simu yangu ina passwords mbili moja kwa ajili yangu ambapo nitaona kila kitu changu nyingine ni public ambayo hiyo mtu akiingia haoni baadhi ya picha, videos, contacts, sms na vitu kama hivyo.

Last seen whatsapp iko deactivated. Location iko deactivated. Nimesign in kwa feki gmail account.
Dp ipo inautafuta mwaka wa pili, sichungulii status za watu na wala siupload status.

N.k.
 
Habari zenu wajumbe!

Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.

Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.

Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.

Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....


Hii ina maana gani?!

Kwann unaficha status yako?!

Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!

Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!
Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza ona
 
Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza ona
Hata wanaume hii tabia wanayo ila nimeiona kwa matozi hawa marioo hawa ndio wanahiyo shida ila mwanaume anayejitambua kama mimi anaanzaje kuweka hayo makitu......?!

Kama simpendi mwanamke namwambia ajisumbue at her own risk!
 
Na mim ni mwanaume last seen nimeitoa...

Sema ukifkria sana mambo ya wanawake utajihurumia mwenye na kujibembeleza mwenyewe...

Usiwape akili yako waitawale, fanya yako yenye faida mbeleni.'

Hao viumbe siyo wa kuwasikiliza na kuwawekea mawazo muda wote.
 
Mkuu sio wanawake tu mim kuna mwanaume nawasiliana nae kimya kimya kama kipofu akiwa online hujui offline hujui na msg hazieki 2 ticks wala blue tick,,hapo unaweza ona
Kakublock huyo wewe.. Shutka..
 
Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo ilimradi tuu havunji sheria!!
Umeniwahi aisee.
Na hata akificha wewe inakuhisu nini? Unless awe demu wako,wengine muache tu. Maana sikumbusha last seen yangu niliitoa lini
 
Back
Top Bottom