Online status za Whatsapp za wanawake

Online status za Whatsapp za wanawake

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,806
Habari zenu wajumbe!

Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.

Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.

Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.

Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online.

Hii ina maana gani?

Kwann unaficha status yako?

Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?

Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea?
 
Wengi wanaofanya hivyo ni wale wasiojiamini, kama najiamini kuna haja gani kuficha profile au status yangu. Mfano simu nimeweka location active muda wote.
 
Habari zenu wajumbe!

Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.

Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.

Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.

Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....

Hii ina maana gani?!

Kwann unaficha status yako?!

Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!

Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!

Ukiwa na marafiki wa aina hiyo inaonyesha pia wewe ni mtu wa aina gani!
Kwa kifupi hata wewe unafanana nao vinginevyo usingepoteza muda nao!
 
Imagine ni mkeo haikupi wasi wasi kuwa anamficha nani kuwa hayupo online....?!
 
Khaaa!!! Sasa yeye akificha last seen yake we inakuhusu nini, wengine wanakwepa nongwa na gubu zenu, mie ni mwanaume lakin pia nimewka hvyo, utakuta jitu linakwambia oohh!! Nimekutumia meseji yangu lakin huijibu akati upo online, mara ooh!! Mbona hujanisalimia wakat sijui last seen ni saa 3 asubuhi..
 
Ukiona demu simu ina mapaswed kibao kila faili, wasap kaficha last seen , au kaweka ile system ya kusoma meseji bila kuweka zile blue tick .... ..huyo ni ana mambo mengi km mchezaji namba sita.
Nikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kitu
 
Mi ni mwanaume lakini pia nafanya hayo, ila hii ilikiuja baada ya mtu mmoja kuwa msumbufu pale usipoweza jibu jumbe zake kwa uharaka (alivyopendaga yeye)
 
Nikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kitu
Hahahaha hawa mbn ni rahisi kuwagundua tu.

Nitakapooa , mke wangu namm nishariti kila mmoja awe na access na simu za mwenzake .

Eti umeoa ,lkn demu upande wa meseji kaweka paswedi maaaaaaaaaanina ...sio mimi
 
Habari zenu wajumbe!

Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.

Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.

Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.

Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....

Hii ina maana gani?!

Kwann unaficha status yako?!

Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!

Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!
Samcezar yaani unaacha kufanya mambo ya maana kukuingizia kipato unachungulia status za wanawake whatsapp?
 
Pesa ina nafasi yake lakini pia mahusiano yana nafasi yake.....

Ukiamini kuwa umekuja duniani kutafuta pesa tu, naomba ufanye tafakari upya, na ujaribu kujiuliza nani alikuagiza kuwa duaniani tumekuja kutafuta pesa....
 
Kwa hyo samcezar we umekuja duniani kuchungulia status za wanawake kwenye whatsapp
 
Back
Top Bottom