Hivi jamani ina maana hamuwezi kabisa kutumia akili mlizonazo kung'amua njama za utapeli kama hizi? Au ni njaaa? Hivi pesa inavyotafutwa wewe unasubiri mtu aje akupe ukiwa umekaa?hellow guys,, i need your views , hivi kuna mtu yeyote mwenye habari na hii application inaitwa perfect app na ikamlipa ,,, link yake hii hapa The Perfect App.