just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 448
Kuna mtu yeyote hapa nchini (TANZANIA) aliyewahi kufanya biashara ya fedha za kigeni online????
kama yupo please tupe ujuzI........
kama yupo please tupe ujuzI........
Kuna mtu yeyote hapa nchini (TANZANIA) aliyewahi kufanya biashara ya fedha za kigeni online????
kama yupo please tupe ujuzI........
poa poa mkuu.............but wewe ulishawahi kujaribu au una mtu ambaye unamfahamu ambaye amewahi fanya (reguardless of the LOSS/PROFIT he/she made.Unatakiwa usome basics zake kwanza.
Hivihivi utakuwa unatwanga maji kwenye kinu.
Ingia mtandaoni ujifunze kuhusu currency trading na the best strategies involved.
Ila kwa kuanzia unaweza kutumia trading brokers kama fxcm au etoro.
Unajiandikisha na kuweka mpunga huko baadae ndo utaanza kununua na kuuza.
Ukiingia kichwakichwa utapata panic attacks.
poa poa mkuu.............but wewe ulishawahi kujaribu au una mtu ambaye unamfahamu ambaye amewahi fanya (reguardless of the LOSS/PROFIT he/she made.
nia yangu ni kutaka kujua ulitumia broker yupi coz si unajua most of them are from outside
poa poa mkuu.............but wewe ulishawahi kujaribu au una mtu ambaye unamfahamu ambaye amewahi fanya (reguardless of the LOSS/PROFIT he/she made.
nia yangu ni kutaka kujua ulitumia broker yupi coz si unajua most of them are from outside
Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.FXCM & eToro.
Ndiyo nini hii.Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
Duuuhhhh pole sana mkuu, ulitoa changamoto kubwa sana nini.....Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
hahahaha wewe shuwaini ndio umekuja kufia humu? hahaha na ukome kuchafua nzuzi za wenzako wahedi mkubwa wewe mbona hapa umetulia kimya? kweli nimeamini ulikuwa umetumwa si bure.Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
Unanichokoza siyo? Nita kushughulikia baadaye.hahahaha wewe shuwaini ndio umekuja kufia humu? hahaha na ukome kuchafua nzuzi za wenzako wahedi mkubwa wewe mbona hapa umetulia kimya? kweli nimeamini ulikuwa umetumwa si bure.
Haha huwezi kunipata boss na sina muda wa ku deal na virusi vya sampuli yako. Bye.Unanichokoza siyo? Nita kushughulikia baadaye.
Watu njaa zinawasumbua wanafikiria easy money. Wamenifungia sababu nilikuwa nawafanyia maudhi ili watambue katika maisha hamna shortcut, hile Forex trading ni highly risk, sasa kuna watu wanaanzisha ubroker ili wao wanufaike wawatie watu umasikini. Lazima watu wanalezwe ukweli hawaelewi! Wabongo wengine wanapupa sana ndiyo maana wanadanganywa kama ilivyokuwa mchezo DECI.Duuuhhhh pole sana mkuu, ulitoa changamoto kubwa sana nini.....
Uzi ule watu wana comment as if kesho wanakuwa akina Mengi kwa utajiri
umesema kweli mkuu,mie nawacheki tu wanavyobabaikagaWatu njaa zinawasumbua wanafikiria easy money. Wamenifungia sababu nilikuwa nawafanyia maudhi ili watambue katika maisha hamna shortcut, hile Forex trading ni highly risk, sasa kuna watu wanaanzisha ubroker ili wao wanufaike wawatie watu umasikini. Lazima watu wanalezwe ukweli hawaelewi! Wabongo wengine wanapupa sana ndiyo maana wanadanganywa kama ilivyokuwa mchezo DECI.
Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......Watu njaa zinawasumbua wanafikiria easy money. Wamenifungia sababu nilikuwa nawafanyia maudhi ili watambue katika maisha hamna shortcut, hile Forex trading ni highly risk, sasa kuna watu wanaanzisha ubroker ili wao wanufaike wawatie watu umasikini. Lazima watu wanalezwe ukweli hawaelewi! Wabongo wengine wanapupa sana ndiyo maana wanadanganywa kama ilivyokuwa mchezo DECI.
wewe unafanya forex?Forex.com na fxcm
Platform ya forex.com ni rahisi zaidi.
Loss? Big loss km hauko makini.
mkuu ukweli upoje huko,ni kweli unaweza kutengeneza faida kubwa kwa kipindi kifupi?Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......
Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange
Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
Ni both ways na unaweza kupoteza mamilioni kwa kipindi kifupi pia.......mkuu ukweli upoje huko,ni kweli unaweza kutengeneza faida kubwa kwa kipindi kifupi?