PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
- Thread starter
- #81
Acha ushamba wewee.....unajua maana ya Hifadhi?.... unajua kama simba anajua yeye anaishi hifadhini?.... swala anajua kama anaishi hifadhini?.... wao wanajua wanaishi kwenye maeneo yao ya maisha yao....sisi binaadamu ndio tunasema wanaishi HifadhiniHifadhi ilianzishwa Wamasai wakiwa pale pale Ngorongoro na wengine kuletwa kutoka Serengeti. Hapo ndipo eneo letu la kupambana. Tulipo hapo tunapambana kimaisha yani. Ni eneo letu la urithi. Hatuondoki.