Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

Jaribuni kutufukuza muone kama tuna sababu ya msingi au hatuna.
Halafu mnaoshabikia sisi kuondolewa mtakuwa majangili.
hivi unafikiri mna muda mrefu hapo, mtafukuzwa na hamna la kufanya kwasababu watanzania walio wengi wanataka mtoke hapo. mtaburutwa pamoja ngómbe zenu bora waambie ndugu zako waanze kutafuta pa kuhamia mapema. hapo ifanyike operation kama ya kimbunga tu kuwaondoa kinguvu kama hamtaki kuondoka kwa amani. na hata dunia hamuwezi kuililia kwasababu ngorongoro ni urithi wa dunia.
 
taifa ni watu na watu sio ninyi tu, watu wachache kama ninyi hamuwezi kufanya tulio wengi tupate hasara ya mbuga kwasababu ya mifugo yenu. kwanza elimikeni mfuge kisasa, mtaishi kiporipori hadi lini?dunia inabadilika.
Mbuga zipo kibao. Mbuga sio NCA peke yake. Na mfumo wetu wa maisha haikuhusu. Unakusumbua tu kwa sababu ya njaa zako. Ndio maana unaona Co-Existence haiwezekani. Njaa imekuondoa akili. Wewe ndio unaona dunia inabadilika kwa sababu una njaa.
Hatuondoki.
 
yaani masai unapata wapo gati za kuniambia mimi hivyo? ati mbuga sio hiyo tu, kwahiyo kumbe lengo lenu mnataka kuiharibu kabisa mfanye makazi. shida ni kwamba akili hamna kujua kwamba muda si mrefu mtalisha mangómbe yenu manyasi yote, ukame utakuja hapo mangómbe yataanza kufa then mtahama wenyewe kufuata malisho mkaharibu maeneo mengine kama mlivyozoea, na hapo nyumba mmeshaharibu kabisa na wanyama wamekimbia au wamekufa na hakuna mbuga tena. ndicho mnachotaka? au hilo kichwani mwenu hakuna, mnawaza ng'mbe tu. ati mfumo wenu haunihusu, hivi kuna mtu anaweza kutamani mfumo wa maisha wa masai? jifunzeni hata kwa wasukuma tu basi, mbona wafugaji wenzenu kidogo wanakuwa na uelewa? mnalishwaga nini huko maporini?
 
hivi unafikiri mna muda mrefu hapo, mtafukuzwa na hamna la kufanya kwasababu watanzania walio wengi wanataka mtoke hapo. mtaburutwa pamoja ngómbe zenu bora waambie ndugu zako waanze kutafuta pa kuhamia mapema. hapo ifanyike operation kama ya kimbunga tu kuwaondoa kinguvu kama hamtaki kuondoka kwa amani. na hata dunia hamuwezi kuililia kwasababu ngorongoro ni urithi wa dunia.
Hatuondoki. Sio kazi kutuchagulia mfumo wa maisha. Tunaishi porini kwa uamuzi wetu. Usituchagulie wewe.
Kama mfumo wetu wa maisha unakukera, rudi kwenu ukauze kiduka au ukashone viatu.
 
mzee utaondoka tu, its just a matter of time. nakushauri waandae kisaikolojia ndugu zako huko maporini.
 
yaani masai unapata wapo gati za kuniambia mimi hivyo? ati mbuga sio hiyo tu, kwahiyo kumbe lengo lenu mnataka kuiharibu kabisa mfanye makazi. shida ni kwamba akili hamna kujua kwamba muda si mrefu mtalisha mangómbe yenu manyasi yote, ukame utakuja hapo mangómbe yataanza kufa then mtahama wenyewe kufuata malisho mkaharibu maeneo mengine kama mlivyozoea, na hapo nyumba mmeshaharibu kabisa na wanyama wamekimbia au wamekufa na hakuna mbuga tena. ndicho mnachotaka? au hilo kichwani mwenu hakuna, mnawaza ng'mbe tu. ati mfumo wenu haunihusu, hivi kuna mtu anaweza kutamani mfumo wa maisha wa masai? jifunzeni hata kwa wasukuma tu basi, mbona wafugaji wenzenu kidogo wanakuwa na uelewa? mnalishwaga nini huko maporini?
Ukame huja na kuondoka toka enzi na enzi. Sio mara ya kwanza kuja kwa ukame au janga lingine la mifugo. Ilikuja Sotoka ikaua hadi nusu ya watu na ng'ombe 75% lkn bado tukaanza maisha na ng'ombe wachache. Sisi hatuogopi janga. Tunapambana nalo. Wafe watakaokufa, wabaki watakaobaki.
Ukame sio kitu kipya kwetu.
Kama tunakukera , rudi kwenu ukashone viatu au ukauze kiduka chako cha madawa ya mifugo. Tutakuja kununua.
 
Yaani pori la Loliondo liuzwe, tuondolewe Serengeti, halafu mtuondoe tena Ngorongoro, kisa njaa zenu. Nchi iuze dhahabu, Pamba, Kahawa, Tanzanite, Almasi, Ng'ombe, Mbuzi, Chai, Karafuu, Korosho, bidhaa za viwandani ipate fedha za kigeni(Dola). Sio kufanya Internal Displacement (IDP) ya watu kisa inataka dola.
Mawazo ya ajabu sana na ujinga wa kiwango wa juu sana.
 
Ukame huja na kuondoka toka enzi na enzi. Sio mara ya kwanza kuja kwa ukame au janga lingine la mifugo. Ilikuja Sotoka ikaua hadi nusu ya watu na ng'ombe 75% lkn bado tukaanza maisha na ng'ombe wachache. Sisi hatuogopi janga. Tunapambana nalo. Wafe watakaokufa, wabaki watakaobaki.
Ukame sio kitu kipya kwetu.
Kama tunakukera , rudi kwenu ukashone viatu au ukauze kiduka chako cha madawa ya mifugo. Tutakuja kununua.
mnatuharibia mazingia pusi nye, kwahiyou najisifia ujinga, hivi unaona ni akili hizo?
 
Yaani mnajiona mna akili sana kuliko watu wanaopigania kubaki katika eneo lao la urithi na eneo ambalo babu zetu walibaki kwa makubaliano, eti kisa ninyi mnataka NCA iendelee kuwalipa vimishahara vyenu na viposho. Rudini kwenu na njaa zenu. Wajinga kabisa.
 
Ngorongoro ni kubwa sn na wala siyo kwamba imejaa mifungo ya wamasai siyo kweli hata kdg
Mkuu inaonyesha hii issue huifaham wala kuielewa kwa uzuri, bora uache wanaofaham hii scenario wachambue na kufuatilia.

Thanks.
 
Tokeni kwenye hifadhi mkapambane huko kama watu wengine...sio kutafuta huruma ya watu hapa
Hata wakurya na waikoma walikuwa ndani ya Serengeti na wakatolewa. It's a matter of time..
Kuna watu hapa sijui ni kwa sababu ya umri au history hawaelewi haya mambo, mbaya zaidi wanadhani binadamu sawa na mnyama wa miguu minne.
 
Dah!... serikali zetu hizi huwa zinalal la mno....hivi mpaka watu wanavamia huko kinyemela wao walikuwa wapi?....mpaka wadau wapige kelele ndio wao washtuke tena huku wakichechemea.

Wa-Afrika bhana....
Hawakuvamia mkuu, mfano kuna jamaa wapo kule Mugumu sikumbuki kabila lao as if wangoreme na some off waikuzi na baadhi ya wakulya wote ni wa mkoani Mara, hawa walikuwa wakiishi mle Serengeti but inshort miaka hiyo wote walitolewa.

Mfano; pale 'fort ikoma' ni eneo ambalo hata askali wa park haruhusiwi kukaa na familia kubwa, pale kuna skulk ila watoto wakifikia hatia ya kuingia sekondari ni nje ya park hiyo lazima, kulinga na sheria za national Park.

Sasa hapa kwa Ngorongoro kuna watu ambao ni washika dau, hao tunaweza kuwaita ma_land lord na wana ukwasi, wanaamua kusimamia kidete serikali isiondoe mtu na watapenyeza shekeli to win this.
 
Kaa ukijua ardhi ni Mali ya serikali chini ya usimamizi wa raisi.

Hata hapo kwako unapoishi serikali ikiamua kuwahamisha ipitishe Barabara au kujenga soko , kisheria huna Cha kuwafanya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kaa ukijua ardhi ni Mali ya serikali chini ya usimamizi wa raisi.
Hata hapo kwako unapoishi serikali ikiamua kuwahamisha ipitishe Barabara au kujenga soko , kisheria huna Cha kuwafanya.
Ulikuwa hujui au unaniambia mimi?.
Wewe hauwatetei hap ndg zako wa ngorongoro?
 
Back
Top Bottom