Ongezeko la wasomali Tanzania linaweza kutishia Amani na Kutufanya vibaraka siku za usoni!!

Kweli mkuu yaani hii mada kuna jitu huko Kenya lililalamika ooh sisi mnatukataza kuzaliana wakati wasomali wanazaa watoto wengi
Kwamba baada ya miaka 50 wasomali wataiteka Kenya
Sasa na yeye kaiokota huko kaileta vile vile ila kabadili nchi tu

Anasema wabantu wanabaguliwa Somalia bila facts zozote mradi tu

Umasikini wao na chuki ndio fursa kwa wanaoingia hapo
Dunia hii ni kupambana na maisha na sio kulia lia
Niko nje napiga kazi haswa lakini sijawahi kuambiwa toka kwetu 😄 🤣
Uk na USA ndio at least zinamix race kwenye position mbalimbali za juu nasio sensitive. Jaribu kuangalia nchi zingine kama Scandinavia, German etc ni ushahidi tosha kuwa watu wanalinda nchi zao hasa kipindi hiki migrants wanaongezeka. Kazi nyingi nizile za hovyo kufagia, kulea wazee, warehouse, kusambaza vyakula etc, ila sensitive area zote wapo wenyeji nazinalimit ya hali ya juu. Niwachache sana wanabahatika IT na huduma za afya Dr, nurses....Mifumo yetu nchini ni mibovu kunahatari watu Hawa wakajipenyeza sekta muhimu. Nivema kama nchi tukalinda mustakabali wa nchi yetu. Nikweli hizo jamii zakushi Somali, Ethiopia , Arab , Hindi etc wanatubagua sana tena kuliko wazungu wenyeji nchi za kigeni. Wanavitabia vya asili violence huo ni ukweli lazima wa Tanzania tuwe macho.
 
Back
Top Bottom