Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Hahah...kuna uzi nilikutag umeuona?

Huyo jamaa ananijua vizuri alikuwa anani enjoy tu. Mimi Me mkuu hapa namweka sawa huyu mtoto hapo juu
Keshakaa sawa huyooo[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Bora ww umesema kitambi, wenyewe wanasemaga Tumbo.
 
Kuna mtu kamuuliza ndio akajibu yeye ni ke ndio nikashangaa me siku zote najua me[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] yule ni my huby,barafu Wa moyo wangu, tiba ya maradhi yangu
Upo?!
 
Ulaji wa holela,siku moja nimepanda daladala nikiwa nimekaa dada mmoja alikuwa amesimama, daladala limekula nyomi,sasa tumbo lote limenibana mimi niliyekaa, ikabidi nimuulize '' vipi una mimba nikupishe ukae? '' Daaaaa kilichofuata ilibidi nishuke kabla ya kufika nilipokuwa naenda.
 
Back
Top Bottom