Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Mazoez hawataki wanagida Savanana na Light bado Kuku za KFC what do u expect ona huyu Mama ana 40+ by age lakin kama Bint wa 30 hv
b4b9aabe4f8fd218264acaba45e58566.jpg
 
Yaani hawa wanawake wenye vutambi ambavyo mimi siwapendi kujihusisha nao kimapanzi,hakika wangefanya jitihada za kuviondoa kabisa Nina mdada mmoja ni mpenzi wangu yaani tangu awe na kitambi,ile hamu yaku-MFANYA imepungua kabisa badala yake mawazo yameanza kwenda kwa baadhi ya mabinti wa mitaani ambao viuno vyao vyembamba na nyonga zao pana huku makalio makubwa kiasi sambamba na matumbo yao kuwa flat.
Tamaa tu huna lolote wewe unashindwa kumwambia mpenzi wako afanye diet.!
 
Matumizi ya ARVs, Uzazi wa mpango, vyakula vyenye makemikali,uvivu wa mzaoez, n.k unakuta jitu linakitambi chenye michirizi kama pundamilia alafu chura imepotea kabsaaa
Astaghfirurah! Wee unavoongea kama umejiumba! Hv kuna mtu asietaka chura kweli? Sema ndio kaumbwa hivyo
 
Back
Top Bottom