ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,578
Hahahaha jamani jamani duh!Unamaanisha unakuta anaumbo kama TANGAWIZI au?
Hahahaha jamani jamani duh!Unamaanisha unakuta anaumbo kama TANGAWIZI au?
hahahahhah Daby wwUnamaanisha unakuta anaumbo kama TANGAWIZI au?
Limenitoka hiloHahahaha jamani jamani duh!
[emoji85][emoji85] kuna watu usije ukawaita hapahahahahhah Daby ww
OhooooooKuto kupenda kufanya mazoezi,mapombe na kula hovyo bila mpangilio kunachangia wao kupata vitambi,namna hii pichani unafikiri wataacha kupata hivyo vitambi![]()
![]()
hahahhah wapo humu hao wenye vitambi[emoji85][emoji85] kuna watu usije ukawaita hapa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahahhah wapo humu hao wenye vitambi
hahahah mm ndio mana sitaki mambo kama haya kuonana na watu uje uniseme kama hivi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Don't say hivyo.hahahah mm ndio mana sitaki mambo kama haya kuonana na watu uje uniseme kama hivi
hahahhah mengi yapi hayo DabyDon't say hivyo.
Love ni zaidi ya umbo ni zaidi ya chura..halafu labda vivulana ndiyo bado vina tabia ya kuja kutangaza humu nimekutana na fulani.
Tumeshakutana na mengi ila tupo kimya.
Mengi tu...hahahhah mengi yapi hayo Daby
huo umri wa miaka 16 [emoji23] unajiona mzeeMengi tu...
Sasa kwa umri huu nikianza kuyahadithia yataisha kweli!
Mungu anakuona mmkuuUnamaanisha unakuta anaumbo kama TANGAWIZI au?
Mungu wa Asha boko ndiye mungu wa cleoptra mkuu...acha anione tuuMungu anakuona mmkuu
hahahhahaahMungu wa Asha boko ndiye mungu wa cleoptra mkuu...acha anione tuu
wote wawili wameniambia et
Umri usikupe shaka.. cha muhimu najua ku qoute na kutype mengine bonus tu shuniewote wawili wameniambia et