Kwa hiyo unakula kabisa papi?Mimi binafsi napenda pweza tokea niko mdogo!!! Ni tamu ko sidhani kama kuna sababu nyingine pembeni.
KabiiisaKwa hiyo unakula kabisa papi?
Samahani mpenzi, unaweza kunisaidia hapo red unamaanisha nini?Mimi binafsi napenda pweza tokea niko mdogo!!! Ni tamu ko sidhani kama kuna sababu nyingine pembeni.
Kwa hiyoSamahani mpenzi, unaweza kunisaidia hapo red unamaanisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wagomvi sana humu
Mimi binafsi napenda pweza tokea niko mdogo!!! Ni tamu ko sidhani kama kuna sababu nyingine pembeni.
Ahsante kwa ufafanuzi. Huwa naona watu wengi wakiandika hivyo sikuwa najua maana yake.Kwa hiyo
Za kukimbiaNguvu gani tena yakhee
Zinaweza ongezeka kwani????We jilie tu nguvu za papuchi zikiongezeka mie simooooo lol!
Mazoea ya kutumia lugha mbovu...Ahsante kwa ufafanuzi. Huwa naona watu wengi wakiandika hivyo sikuwa najua maana yake.
Ko = Kwahiyo.
Hatari sana sheikh!!
Kwani hadi kwa wanawake mi najua kwa wanaume tuWe jilie tu nguvu za papuchi zikiongezeka mie simooooo lol!