Nakadori inaelekea wewe ni mpenzi sana wa ice cream za Bakhresa.Umenikumhusha kutoboa ulimi asee...
Kazi ya kipini hiki itatumika chumbani kwa anko tuu
Hayo makabila kiukweli kumpata mke ni kazi saana.hao wanawezana wenyewe na ndio maana wanatoboa pua,hakuna mwanamke wa maana anatoboa puaNjoo kusini Huku wamwera,wamaraba wa masasi na wamakonde utaona mpk wengine tuko nao maofisini NI kawaida Sana..labda huko kwenu ndo ajabu btw me mwenyewe sipendi mke Wangu atoboe pua
Sijawahi kuona utofauti wa mwanamke alietoa matobo mengi masikio na mwenye kipini puani na mwenye tatoo!Siku hizi matobo mengi ya masikio ndo habari ya mjini,lakini Pua ni kama fashion yake ishapita, zamani ndo ilikuwa inabamba sana!!!
Watoboa pua, wavaa kikuu, wenye tattoo asilimia kubwa wanatoa jicho
So ukiwa naye usimulize we mpeleke
Moto tu
Ni code fulani
Ova
Yaani dem kachora tatoo ya cobra 🐍 mgongoni! Hatari sanaMm baahati mbaya CYO muhuni nikaona hyu aliyechora nyoka kutoka mabegani had mwanzo wa kalio Ni hatari huwenda akaniambukiza shetani yule
cocastic hivi mbona hujaniambia kama umekutana na goroko kwenye daladalaWakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake inasemekana kuwa nyinyi mnaotoboa pua ni wanawake fulani wahuni hivi au malimbukeni
Kwanini wanafanya hvyo katika maisha yangu sijapata kuona mwanamke ameolewa akiwa ametoboa pua sijapata kukutana nao wengi ni masikio na unakuta katoga moja kwa hereni moja tu
Haya tuambieni kuna siri gani kutoboa pua hamuoni kuwa mnaonekana watu wa ajabu ajabu kwa mambo ya ovyo ovyo
Huwezi mkuta mwanamke smart halafu anatoboa pua au umkute daktari au Hr wa kampuni au taasisi kubwa katoboa pua huwezi
Nawapa tahadhari ondoeni vipini vyenu haraka sana.
Nimeshuka ktk daladala Hapo Kibo Tegeta hapa nimekaa siti moja na pisi kali mno mtoto mashalaah namba nimepata ila kikwazo katoboa pua kaniudhi kweli ila fresh nitawapa mrejesho kule kimasiara
Mrangi kama mrangiWatoboa pua, wavaa kikuu, wenye tattoo asilimia kubwa wanatoa jicho
So ukiwa naye usimulize we mpeleke
Moto tu
Ni code fulani
Ova
Mm siwezi kumshukuru mtu aliye toboa ulimi na pua na mashavuWanawake kila wanachofanya kina Kazi yake, we tafuta mmoja wapo approach atakuonesha Kazi ya hizo vitobo na hivyo vya kuvaa ikiwemo vipini kwenye ulimi, pua, na vikuku. Utakuja kunishukuru.
Yaah sure hakuna maadili au akili hapoSijawahi kuona utofauti wa mwanamke alietoa matobo mengi masikio na mwenye kipini puani na mwenye tatoo!
Inshort kwangu hawa nawachukulia ni malaya wanaojiuza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwez nifananisha na ngombe acha uupuuzVile goroko77 jinsi anavyomuona mdada mwenye kipini puani.View attachment 2241251