Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Eti wanadai wakitoboa pua wanapumua vizuri zaidi.
 
Kwanini wanafanya hvyo katika maisha yangu sijapata kuona mwanamke ameolewa akiwa ametoboa pua sijapata kukutana nao wengi ni masikio na unakuta katoga moja kwa hereni moja tu

Haya tuambieni kuna siri gani kutoboa pua hamuoni kuwa mnaonekana watu wa ajabu ajabu kwa mambo ya ovyo ovyo
1723830905987.png
 
Wakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake inasemekana kuwa nyinyi mnaotoboa pua ni wanawake fulani wahuni hivi au malimbukeni

Kwanini wanafanya hvyo katika maisha yangu sijapata kuona mwanamke ameolewa akiwa ametoboa pua sijapata kukutana nao wengi ni masikio na unakuta katoga moja kwa hereni moja tu

Haya tuambieni kuna siri gani kutoboa pua hamuoni kuwa mnaonekana watu wa ajabu ajabu kwa mambo ya ovyo ovyo

Huwezi mkuta mwanamke smart halafu anatoboa pua au umkute daktari au Hr wa kampuni au taasisi kubwa katoboa pua huwezi

Nawapa tahadhari ondoeni vipini vyenu haraka sana.

Nimeshuka ktk daladala Hapo Kibo Tegeta hapa nimekaa siti moja na pisi kali mno mtoto mashalaah namba nimepata ila kikwazo katoboa pua kaniudhi kweli ila fresh nitawapa mrejesho kule kimasiara
Mambo ya fashion hayo mkuu
 
Back
Top Bottom