Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Watoboa pua, wavaa kikuu, wenye tattoo asilimia kubwa wanatoa jicho
So ukiwa naye usimulize we mpeleke
Moto tu
Ni code fulani

Ova
Kumbe mm nilimjaribua mchora tatu siku moja akanipa mtaro niuzafishe tu
 
Rejea "Pamela na kipini" nadhan watakua wamepitia andiko hilo la kale
 
Unatokea wapi mkuu?? Mbona hiyo kutoboa pua ni oldy fashion ambayo ni kama inarudi tu kipindi hiki, miaka ya nyuma huku ukanda wetu wa pwani ilikuwa ni urembo wa kawaida kutoboa pua, bibi yangu amefariki (RIP) na uzee wake na kipini chake cha pua , hamna kipya.
Sawa ila acha tu bib ako pengine alikuwa pisi Kali na haambililiki
 
Hamukumshangaa Chid Benz alivyotoboa, mnawashangaa wanawake!
 
Siku ukimpata mwenye kipin mpaka kwenye papuchi nistue 😂😂
Maana wananitiaga mzuka.
50000 ipo kama zawadi yako
 
kutoboa pua nikuongeza njia ya kuvuta pumzi oxgeni mbona land cruza ina mkonga nje sababu ya kuongeza nguvu ya pumzi
Kwahyo ndio mchango wako Bora ungekah kimya kuliko kuandikaa upuuu hap
 
Rejea "Pamela na kipini" nadhan watakua wamepitia andiko hilo la kale
Pamela nkuta ama Nani hapn msitoboa pua kuolewa na mtu aliyesirious no 10 parcent
 
Back
Top Bottom