Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,633
Reaction score
38,733
Leila anawawakilisha kilio cha wengi?

Tatizo lipo wapi?
IMG-20180329-WA0017.jpg

Miaka mitatu mbele natimiza miaka 30 nikijaaliwa,na kama mpaka hapo sijapata mume wa kunioa nahama hii Nchi naenda kuomba uraia hata Kenya,maana hii itakuwa dharau sasa nyie wanaume.

Kwamba mnataka watu tuzeeke na ufundi wetu hata haujatumika kihalali ndani ya ndoa? vibaya ivyoo.

Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom