Mtoa mada fata maisha Yako,kwani vijana wakila ugoro akaunti Yako inapungukiwa ela?au unakosa kula wewe na familia Yako?fuata mambo yanayokuhusu uishi miaka mingi na na kheri duniani,dunia imeumbwa na kila mtu tofauti ili maisha yabalance Kama mtu anakula ugoro wake na hakuwashi,wala haungilii maisha Yako just keep on with your life
Wanapata Raha ganii??MKUU JANA NIMEKAA NAE LEO KWENYE DALADALA ANATEMA MATE BALAA AFU ANAWEKA UGORO TENA
Tumia uone raha yake...ailezeki Kama unavyokunywa soda tuu unapata raha gani ya kumuelezea mtu?Wanapata Raha ganii??
AhahahahaUgolo kwetu tunadabia wale wanyama wanaojiona wajanja sana halafu wanapenda vitu vitamu vitamu kama ndizi.