Ongezeko la vijana kula ugoro

Ongezeko la vijana kula ugoro

Biashara ya ugoro ni TISHIO inaangamiza nguvu kazi.Arusha vijana wanaangamia.
waga nacheka sana kuwaona vijana wa GREEN GUARD wanavyotema tema wakishabwia ugoro.
cha ajabu wengine wanachomekeana Hadi kwenye matundu ya haja.kubwa
 
Kila mtu ana starehe yake lakini isiwe bugudha kwa wengine.

Baadhi ya watumiaji wa ugoro wamekosa staha wanatema mate ovyo ovyo na kuchokonoa mdomo mbele za watu.

Kuna rafiki yangu huyu mpaka kwenye chumba anacho lala ana tema mate.
 
Chumba si chake ww inakuuma nn?? Kama vp hama kakae kwako au usiewe unaenda kumtembelea kwake
Kwanza ushamwambia kuhusu hyo tabia yake mbaya mkuu au umekuja kulalama humu
 
Husika na mada hapo juu[emoji4]

Kwa wajuvi wa mambo haya, kuna bro wangu amevuta sigara takriban miaka 20 now. Ameamua kuachana na utumwa huo.

Sasa kiu bado inamkaba vibaya sana na anaona mateso. Ameamua kuanza kupiga UGORO walau mara tatu nne kwa siku eti nafuu kuliko sigara alizokuwa akivuta almost kumi kwa siku.

Nijuzeni, kipi ni kipi hapo? Maana anasema angalau kapunguza madhara kiafya.

Nifafanulieni wakuu.
 
Sikiliza mkuu hakuna kilicho bora hapo kaka na kilevi chochote huwa hakiachwi kwa ghafla, always huwa ni process kama unavuta kwa siku sigara 10 then unapunguza 9 hadi moja and finally unaacha sababu ya mazoea na mpaka hapo ana 20 pack year ya cigarette smoking which medicine anakua kwenye hatari ya kupata Lung cancer.

Lakini pia sigara zina chemical substance nicotine ambayo huwa inasababisha mishipa ya damu kupoteza elasticity na kuwa hardened resulting in narrowed blood vessels na mwisho wa siku anaweza pata coronary atherosclerosis akaishia na magonjwa ya moyo hatari hatari esp acute coronary syndrome and this applies to ugoro.

There is no way miaka 20 ya smoking imetosha aache kwa usalama wake na pia afanye check up pia lakini kama ataendelea sidhani kama Ischaemic heart diseases zitamkwepa...
 
Sikiliza mkuu hakuna kilicho bora hapo kaka na kilevi chochote huwa hakiachwi kwa ghafla,always huwa ni process kama unavuta kwa siku sigara 10 then unapunguza 9 hadi moja and finally unaacha sababu ya mazoea na mpaka hapo ana 20 pack year ya cigarette smoking which medicine anakua kwenye hatari ya kupata Lung cancer lakini pia sigara zina chemical substance nicotine ambayo huwa inasababisha mishipa ya damu kupoteza elasticity na kuwa hardened resulting in narrowed blood vessels na mwisho wa siku anaweza pata coronary atherosclerosis akaishia na magonjwa ya moyo hatari hatari esp acute coronary syndrome and this applies to ugoro..there is no way miaka 20 ya smoking imetosha aache kwa usalama wake na pia afanye check up pia lakini kama ataendelea sidhani kama Ischaemic heart diseases zitamkwepa...
uko nondo..salute
 
Sikiliza mkuu hakuna kilicho bora hapo kaka na kilevi chochote huwa hakiachwi kwa ghafla, always huwa ni process kama unavuta kwa siku sigara 10 then unapunguza 9 hadi moja and finally unaacha sababu ya mazoea na mpaka hapo ana 20 pack year ya cigarette smoking which medicine anakua kwenye hatari ya kupata Lung cancer...
Daah! Uko vizuri mkuu.
 
Vijana wengi wamekuwa wakijiingiza katika matumizi ya aina tofauti tofauti za vichochoe vya ulevi pamoja na madawa ya kulevya!
Hivi sasa kuna wimbi kubwa la vijana ambao wamejiingiza katika matumizi ya ugoro kiasi kwamba wamepata uraibu mkubwa, na wamefikia hatua ya kuwa mateja kabisa!

Ugoro una athari nyingi kiafya, ikiwemo kusababisha magonjwa kama kansa ya koo, kuharibika kwa mdomo na kutema mate hovyo ambapo ni kero kwa wasiotumia kwani hupata kinyaa!

Matumizi haya ya ugoro yameongezeka hasa baada ya serikali kupiga marufuku matumizi ya viroba, pia baada ya bei ya sigara za kawaida kuongezeka bei!

Ni ajabu sana kuwakuta vijana wadogo, na smart kabisa wakiwa wanabwia ugoro, mbaya zaidi ugoro huo huwa unaongezewa baadhi ya vitu ili kuuongezea ulevi!

Wapo wanafunzi, wengine ni wafanyakazi kwenye ofisi za umma, wafanyabiashara, makondakta n.k kwa ujumla wapo vijana wengi sana ambao huu uraibu umewakamata!

Bila shaka huu ni wakati wa kutoa elimu ya kutosha juu ya matumizi ya ugoro na ikibidi serikali ipige marufuku matumizi yake na uuzwaji holela wa kilevi hiki!
 
Back
Top Bottom