Ongezeko la vijana kula ugoro

Ongezeko la vijana kula ugoro

Hivi kuberi, tambuu, na pariki bado ziko kweli

Nakumbuka moshi town mitaa ya double road kuna muhindi alikuwa ana uza hii vitu
 
naiyomba serikari ya jamhuri ya muungano wa tanzania iruhusu uzwaaji wa mirungi na bhangi ili pato la taifa lipande maradufu zaidi
 
Vilevi vingine ni upumbavu% .kuna vitu vingine huwa hata kuviwazia siwezi,
Nilifanya kazi kwenye mambo ya utarii ,nilikuwa nakutana na wazungu wananipa sigara zao navuta kama kujistarehesha,napewa pakiti lakini havikuwahi kunikolea,nilikuwa nakaa na sigara hadi najikuta nazifuria kwenye suruali yani sipati hamu hadi nimuone mtu anavuta na mimi ndo nakumbuka kuvuta.

Siku moja najivutia sigara barazani akaja mrembo mmoja akaanza kunikejeri
"hee! na wewe unavuta sigara? Loh hufanani bora uache tu"

Tangu siku zile nikaachana na tabia za kufata mkumbo ,sivuti sigara na siujui ugoro wala radha yake.
Mambo mengine ni kujipa mzigo tu,pombe wewe,ugoro wewe,sigara wewe,aaah,haina mana kabsa,bora bia mbili tatu si mbaya ukiwa umetulia zako maeneo,hata sigara for fun unaweza kuvuta ila siyo miugoro,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi balehe zilitaka kunitokea puani,nilikuwa namuonaga bibi anaburudika sana na kilevi hiki basi nikamvizia nikaondoka na kikopo chake cha ugoro ,niko mafichoni nikabugia kafumba kakutosha mdomoni,sinikaona silewi kama bibi, basi nikajiongeza sinikameza bana, duh yani mpaka leo nahisi lile tukio nililifanya juzi,kumbe ni kama miaka kumi huko, ebana ugoro ni sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishapataga dili la kupeleka ugoro comoro..
 
Biashara ya ugoro ni TISHIO inaangamiza nguvu kazi.Arusha vijana wanaangamia.
 
Back
Top Bottom