Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Reference mkuu, ingawaje wanasema lisemwalo lipo siamini kwamba hii kitu imekuwa chronic kiasi hiki
 
Daaa ila mapenzi ya kushtukiza matamuuu aseee[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mitego ya akina mama si unaijua
Unajua hiyo jinsia watabakia hivyo mpaka mwisho, yaani wakiwa shuleni anaependwa sana na wavulana ndio anajiona queen na hata wenzake wanamheshimu kwa hilo tu, nahisi hata maofsini hii tabia ya hii jinsia inaendelea, anaetongozwa sana ana jiona yeye bora zaidi, mwisho wanaanza kushindana kugongwa tu, yaani we acha tu!
 
Unga wa Congo ukiisha fanya kazi mechi ya "dondo cup" sasa wanataka iwe mechi ya "nyasi za bandia cup"
Huo unga nihatari Mkuu rungu linapata ganzi balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…