Na huu mfumo ndiyo unawaumiza na kuwapumbaza wa sekta binafsi.Private sector it's all about Minimizing Cost and Maximizing Profit..
Ukiona mshahara mdogo nawewe anzisha biashara yako ujilipe zaidi...
Sekta binafsi ya kazi gani?Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.
Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?
kwa mda mrefu tumekuwa tukiona mara watumishi wa serikali wanapewa misamaha ya kdi mbalimbali na hii huwa haieleweki.
ni kwa nini mwalimu anayefundisha serikalini aruhusiwe kuagiza gari kwa kupewa msamaha wa kodi lakini mwalimu anayefanya kazi ile ile kwenye jamii kupitia mwajiri binafsi ni lazima alipe kodi.
SEKITA BINAFSI TUAMKE TUNAHITAJI UMOJA
Hapo kwenye kupata msamaha wa kulipa kodi na bora utulie manake hiyo gari inatembea na kodi yake ambayo haikulipwa na utajua hili pindipo ukitaka kuuza hilo gari kwa mtu mwingine lazima hiyo kodi ilipweWatnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.
Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?
kwa mda mrefu tumekuwa tukiona mara watumishi wa serikali wanapewa misamaha ya kdi mbalimbali na hii huwa haieleweki.
ni kwa nini mwalimu anayefundisha serikalini aruhusiwe kuagiza gari kwa kupewa msamaha wa kodi lakini mwalimu anayefanya kazi ile ile kwenye jamii kupitia mwajiri binafsi ni lazima alipe kodi.
SEKITA BINAFSI TUAMKE TUNAHITAJI UMOJA
Umoja huo upo, kuna TPSF (Tanzania Private Sector Foundation) nadhani hawa ndio wenye jukumu hilo la maslahi ya wafanyakazi.Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.
Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?
kwa mda mrefu tumekuwa tukiona mara watumishi wa serikali wanapewa misamaha ya kdi mbalimbali na hii huwa haieleweki.
ni kwa nini mwalimu anayefundisha serikalini aruhusiwe kuagiza gari kwa kupewa msamaha wa kodi lakini mwalimu anayefanya kazi ile ile kwenye jamii kupitia mwajiri binafsi ni lazima alipe kodi.
SEKITA BINAFSI TUAMKE TUNAHITAJI UMOJA
Akili ni nywele, Ila nadhani ww una uparaMishahara inapoongezwa ni kwa wote. I mean salary incriment is to the both parts; govemental and private sectors. Tarehe tajwa ikifika angalia salary slip yako itasomaje.
🤣🤣🤣🤣umepiga mshono wa upasuajiUmoja gani mnaouhitaji wakati nyinyi ndiyo wa kwanza kuwabeza na kuwanyanyapaa wenzenu wa Serikalini.
Mtasubiri Sanaaa, Mtasubiriii. Na Mtakesha!!!
Yupo sawa, mshahara ukiongezeka serikalini na private pia wanaongeza maana tunaendeshwa na sheria moja Nchi nzima, ila kazi iwe inayotambulika yenye mkataba maana yake kama kima cha chini serikali imesema iwe ni laki na nusu basi hata private itakuwa hivyo na wale wanaofata pia watajikuta wameongezewa, pia sheria za Kodi zinazotumika serikalini ndizo zinazotumika kwa wafanyakazi wa private wenye mikataba ya kazi na wakaguzi wa TRA na Labor wanapita kukagua mikataba ya wafanyakazi kama ipo kisheria, ila kazi za casual au zisizo na mikataba ndo hizo hazitumii kima cha chini cha mshahara.Akili ni nywele, Ila nadhani ww una upara
Jaribu kuongea na Boss wako, mueleze bila uoga Mtafikia tu muafaka
Nyuzi zimefumuka...🤣🤣🤣🤣umepiga mshono wa upasuaji
Upo sahihi kabisa. Umeongea point sana.Hii nchi hii haki za wafanyakazi hazitambuliki kabsaa. Wafanyakazi wengi hawajui haki zao na sio private tu hata public sector.